Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIATU VIREFU VYAMTOA NISHAI MAIMARTHA

Na Gladness Mallya
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa. Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse. Paparazi wetu alimshuhudia Maimartha akiwa anachechemea kwenye sherehe moja ya kitchen party hivi karibuni huku akiwa bado amevaa viatu virefu na alipoulizwa kulikoni anachechemea alijibu kwamba aliteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZARI AONYWA VIATU VIREFU NA UJAUZITO

MWANDISHI WETU UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ ameonywa kuacha viatu virefu kutokana na ujauzito alionao.
Kwa mujibu wa daktari mmoja ambaye hakupenda jina lake lichorwe gazetini, alisema kama anataka kujifungua salama basi ahakikishe anaachana na suala la kuvaa viatu virefu kwa wakati huu ambao ni mjamzito. Ubavu wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan...

 

10 years ago

GPL

VIATU VIREFU VYAMUUMBUA KIM KARDASHIAN

Staa hot, modo wa ukweli, Kim Kardashian. New York, Marekani
STAA hot, modo wa ukweli, Kim Kardashian, almanusura aanguke kufuatia kiatu alichokivaa kuwa kirefu, hivyo kusababisha ajikwae, Ijumaa iliyopita huko Beverly Hills. Kim alikwenda kufanya shopping kwenye Duka la Celine on Rodeo Drive lililopo Beverly Hills ambalo huuza mavazi ya kike, ndipo akakutwa na masaibu hayo ya kuteguka na kutaka kuanguka lakini aliweza...

 

5 years ago

CCM Blog

MADHARA YA UVAAJI VIATU VIREFU KWA WANAWAKE

NI wazi kuwa viatu virefu huvutia sana vinapo kuwa vimevaliwa.Tulio wengi hasa mabinti au wanawake tunaokwenda na wakati hupenda kuvaa viatu virefu ilikuongeza muonekano wa umbile lako nikiwa na maana kuwa miguu huonekana yenye kuvutia zaidi unapo kuwa umevaa viatu virefu.

Kutokana na utafiti wa kitaalamu, mwanamke ana uwezo wa kutembea wastani wa hatua 10,000 kwa siku.Visigino virefu hufanya nguvu inayotumika kutembea hatua moja kuwa kubwa kuliko kawaida, huku vikikunyima raha ya kutembea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mmiliki wa kiwanda cha viatu (WOISO) aelezea mafanikio yake kupitia shuguli ya ushonaji viatu

001

Mmiliki wa Kiwanda cha Viatu WOISO kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam ,Bw Kenneth Herman (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea mafanikio yake alioyapata kupitia shuguli za kushona viatu na kuweza kumiliki Kiwanda cha Viatu  na kuwaajili watu zaidi ya 2,50. Kwenye kiwanda hicho (kushoto), Msimazi wa Kiwanda hicho Bi.Teya Herman.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

002

Wafanyakazi wa kiwanda cha WOISO wakiwa kazini.

003

Eliza  Hamad, akiwa na mfanyakazi mwezie Bw.Hilari Kimario...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiluvya yaitoa nishai Ashanti

Ashanti United ina kazi ya kurekebisha kikosi chake kabla ya kuanza kwa msimu ujao wa Ligi Daraja la Kwanza baada ya kufungwa mabao 2-1 na Kiluvya United Jumamosi kwenye Uwanja wa Tamco Kibaha, Pwani.

 

11 years ago

GPL

DUDE AWATOA NISHAI BONGO MUVI

Stori:Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amewatoa nishai viongozi wa Bongo Muvi kwa kueleza kuwa, risala iliyosomwa siku ya ‘bethidei’ yao ya kutimiza miaka mitatu imepotosha ukweli. Staa wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Dude alisema ameshangaa kusikia kwenye risala hiyo kuwa waanzilishi wa umoja huo ni Kanumba, Sajuki,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania Prisons yatolewa nishai Kyela

TIMU ya Tanzania Prisons ya jijini Mbeya inayoshiriki Ligi Kuu Bara imeadhiriwa na watoto wa mchangani katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa John Mwakangale (Shamba la Babu), uliopo kitongoji...

 

10 years ago

Michuzi

Martin Skrtel awatoa nishai arsenal dakika za lala salama leo

Na Sultani Kipingo Goli la kusawazisha lililofungwa kwa kichwa na Martin Skrtel (pichani) dakika saba ndani ya muda wa nyongeza leo umewapa Liverpool ushindi waliostahili dhidi ya Arsenal katika uwanja wao wa nyumbani wa Anfield. 
Refa Michael Oliver aliongeza dakika tisa kufuatia mpira kusimama kwa muda mrefu baada ya Skrtel kuumizwa na kupatiwa huduma ya kwanza baada ya kugongana kwa bahati mbaya na Olivier Giroud wa Arsenal. 
Giroud alionekana tayari kaipaisha Arsenal kuelekea kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani