Martin Skrtel awatoa nishai arsenal dakika za lala salama leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-Fwbc7Cu1tMA/VJcm48MmG-I/AAAAAAAG47g/XGnMMTTGzQU/s72-c/_79877643_martin_skrtel_getty.jpg)
Na Sultani Kipingo Goli la kusawazisha lililofungwa kwa kichwa na Martin Skrtel (pichani) dakika saba ndani ya muda wa nyongeza leo umewapa Liverpool ushindi waliostahili dhidi ya Arsenal katika uwanja wao wa nyumbani wa Anfield.
Refa Michael Oliver aliongeza dakika tisa kufuatia mpira kusimama kwa muda mrefu baada ya Skrtel kuumizwa na kupatiwa huduma ya kwanza baada ya kugongana kwa bahati mbaya na Olivier Giroud wa Arsenal.
Giroud alionekana tayari kaipaisha Arsenal kuelekea kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Apr
Exclusie gossip: Aunty Ezekiel ‘Kimeeleweka’ aanika tumbo lake dakika za lala salama
Picha ya aliyoitupia mapema leo asubuhi kupitia IG yake ya AuntyEzekiel ambayo hadi sasa imeshapata LIKES nyingi pamoja na Comments huku watu wakimuombea.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Huenda ulipata kusikia habari za Staa wa filamu za kibongo, ‘Bongo Movie’ Aunt Ezekiel ambaye kwenye mtandao wake wa kijamii wa Intagram anatumia IG Auntyezekiel, mapema asubui ya leo Aprili 30, kupitia IG hiyo ametupia picha ya tumbo lake. (Tazama picha hapo juu).
Hata hivyo katika picha hiyo, Aunty...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRATZRR1haI9t6ufNRtKukv442duOw4wuaLcXetUzrIgLheztsOXfVFMqMO-MDZfruPtp9Kquu6lV5G5yj3T5f0ZF/dude.jpg?width=650)
DUDE AWATOA NISHAI BONGO MUVI
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Lala salama ya Ligi Daraja la Kwanza leo
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Bajeti ya lala salama
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Oct
Kura za Lala salama
Kampeni ni ushawishi. Kampeni ni kujikaribisha. Na kampeni ni kukubalika. Ikiwa zimebaki saa chache kufika siku ya siku (day of a day) kuna kila sababu ya kuendelea kufanya kampeni ili uweze kushawishi, kujikaribisha, na kukubalika. Kwa […]
The post Kura za Lala salama appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Mzunguko wa Lala salama
11 years ago
Habarileo13 Jun
Ni Bajeti ya lala salama
BAJETI Kuu ya Serikali ya Sh trilioni 19.87, imewasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, huku ikiwabana wananchi katika bidhaa na huduma za starehe, na kipaumbele kikubwa kikiwa elimu.
9 years ago
Habarileo18 Oct
Wiki ya kampeni za lala salama
JUMAPILI ijayo Watanzania wote wenye sifa ya kupiga kura, watatumia haki yao hiyo kuchagua viongozi wa Taifa hili katika nafasi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wabunge, wawakilishi na madiwani nchi nzima.