Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wiki ya kampeni za lala salama

JUMAPILI ijayo Watanzania wote wenye sifa ya kupiga kura, watatumia haki yao hiyo kuchagua viongozi wa Taifa hili katika nafasi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wabunge, wawakilishi na madiwani nchi nzima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ridhiwani kikwete aendelea na kampeni za lala salama chalinze

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Dini kwenye Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange wakati alipopita kuwasalimia na kuwaomba ridhaa ya kumchagua kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Jana Machi 30,2014.Picha zote na Othman Michuzi. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini Mzee Hussein Mwindadi ambaye ni Baba wa...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA LALA SALAMA YA KAMPENI CHALINZE‏

  Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkoko katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo. Wananchi wakiwa wamejikinga jua na picha ya mgombea…

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA LALA SALAMA ZA CCM JIMBO LA CHALINZE,ZAZIDI KUTIA FORA

Kaimu Katibu Mkuu wa CCM,Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano wa Kampeniza lala salama zilizofanyika leo April 4,2014,katika Uwanja wa Shule ya Msingi Pera,iliyopo kwenye Kata ya Pera,Chalinze. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kata ya Pera,pamoja na kunadi sera zake leo April 4,2014. Kaimu Katibu Mkuu wa...

 

9 years ago

Vijimambo

LALA SALAMA YA KAMPENI ZA UKAWA SASA KUTUA PWANI NA KUMALIZIA MBEYA

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiungwa mkono na vyama vine vinavyounda vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimsalimia Bi. Lemmy Mahogija (albino) na Mtoto wake Zawadi Elias, wakati alipowasili kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Masumbwe, Jimbo la Mbogwe, Mkoani Geita leo Oktoba 14, 2015. Mheshimiwa Lowassa na timu yake ya kampeni, wameendelea kuimarisha kampeni zao...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KWA KASI KATIKA HATUA ZA LALA SALAMA

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na vijana wajasiriamali wa UVCCM,Mara baada ya kufungua Shina la vijana la mshikamano Visakazi,lililopo kwenye kata ya Ubena Zomozi leo April 1,2014. Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape Nnauye akizungumza jambo na mmoja wa wafugaji wa Kimasai wa Tawi la Kivuga kata ya Ubena Zomozi wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM za Ubunge jimbo la Chalinze,leo April 1,2014. Mgombea...

 

9 years ago

Mwananchi

Tuepuke ajali hizi kipindi cha lala salama cha kampeni

Vyombo mbalimbali vya habari nchini jana vilisheheni habari ya vifo vya watu wanne akiwamo aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, Deo Filikunjombe. Vifo hivyo vilitokana na ajali ya helikopta iliyoanguka kwenye mbuga ya Selous Alhamisi usiku, walipokuwa safarini wakitoka Dar es Salaam kwenda Ludewa.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kura za Lala salama

Kampeni ni ushawishi. Kampeni ni kujikaribisha. Na kampeni ni kukubalika. Ikiwa zimebaki saa chache kufika siku ya siku (day of a day) kuna kila sababu ya kuendelea kufanya kampeni ili uweze kushawishi, kujikaribisha, na kukubalika. Kwa […]

The post Kura za Lala salama appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya lala salama

Dar es Salaam. Kwa mara kwanza Bajeti ya 2015/16, ambayo ni ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Nne, haijaongeza kodi katika bidhaa za pombe na sigara, badala yake imeendelea kupandisha kodi katika mafuta huku ikiminya uingizaji wa bidhaa nchini kwa ajili ya kulinda viwanda na wazalishaji wa ndani na kuongeza ajira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani