Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA LALA SALAMA YA KAMPENI CHALINZE‏

  Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkoko katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo. Wananchi wakiwa wamejikinga jua na picha ya mgombea…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ridhiwani kikwete aendelea na kampeni za lala salama chalinze

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Dini kwenye Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange wakati alipopita kuwasalimia na kuwaomba ridhaa ya kumchagua kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Jana Machi 30,2014.Picha zote na Othman Michuzi. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini Mzee Hussein Mwindadi ambaye ni Baba wa...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA KAMPENI CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini, Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni babu yake, wakati alipokwenda kumsalimia kijijini kwake, Pongwe Kiona jana Machi 23, 2013.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akizindua shina la Vijana wa CCM wa bodaboda...

 

11 years ago

GPL

MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA KUFANYA MAMBO JIMBO LA CHALINZE, SAFARI HII NI ZAMU YA JESHI LA POLISI‏

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete kompyuta Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Kamanda ACP Ulrich Onesphory Matei zilizokabidhiwa na mbunge huyo kwa ajili ya kuboresha shughuli za jeshi hilo jimbo la Chalinze katikati ni Mkuu wa kituo cha polisi Chalinze Afande J. S. Magomi. Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akikata utepe kufungua ili kuonyesha… ...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE APIGA KAMPENI KATIKA KATA YA FUKAYOSE JIMBONI CHALINZE‏

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkenge kata ya Fukayose Jimbo la Chalinze jana. Mwenyekiti wa kata ya Fukayose, Orinjulie Machanga akiwahutubia wananchi wa kijiji…

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA LALA SALAMA ZA CCM JIMBO LA CHALINZE,ZAZIDI KUTIA FORA

Kaimu Katibu Mkuu wa CCM,Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano wa Kampeniza lala salama zilizofanyika leo April 4,2014,katika Uwanja wa Shule ya Msingi Pera,iliyopo kwenye Kata ya Pera,Chalinze. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kata ya Pera,pamoja na kunadi sera zake leo April 4,2014. Kaimu Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KWA KASI KATIKA HATUA ZA LALA SALAMA

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na vijana wajasiriamali wa UVCCM,Mara baada ya kufungua Shina la vijana la mshikamano Visakazi,lililopo kwenye kata ya Ubena Zomozi leo April 1,2014. Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape Nnauye akizungumza jambo na mmoja wa wafugaji wa Kimasai wa Tawi la Kivuga kata ya Ubena Zomozi wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM za Ubunge jimbo la Chalinze,leo April 1,2014. Mgombea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani