Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA KAMPENI CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini, Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni babu yake, wakati alipokwenda kumsalimia kijijini kwake, Pongwe Kiona jana Machi 23, 2013.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akizindua shina la Vijana wa CCM wa bodaboda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ridhiwani kikwete aendelea na kampeni za lala salama chalinze

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Dini kwenye Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange wakati alipopita kuwasalimia na kuwaomba ridhaa ya kumchagua kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Jana Machi 30,2014.Picha zote na Othman Michuzi. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini Mzee Hussein Mwindadi ambaye ni Baba wa...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA LALA SALAMA YA KAMPENI CHALINZE‏

  Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkoko katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo. Wananchi wakiwa wamejikinga jua na picha ya mgombea…

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Ridhiwani Kikwete aendelea na zaiara yake jimboni kwake Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi mjini Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, Pwani,  ambapo pamoja na kuwashuru kwa kumchagua, pia alisema atatumia unasheria wake kuwasaidia wakazi wa jimbo hilo wanaonyimwa haki zao za msingi ikiwemo kuporwa ardhi. Ridhiwani akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo uliofanyika katika Uwanja wa Masoko mjini Chalinze  Mkazi wa Chalinze, Bibi akitoa malalamiko yake mbele ya Mbunge Ridhiwani Kikwete ya kudhulumiwa shamba lake na watu...

 

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani Kikwete aanza kampeni kuwania Chalinze

Ridhiwani KikweteWAKATI leo ni siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, mgombea wa ubunge katika uchaguzi mwingine mdogo jimboni Chalinze, Pwani kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete jana alianza kwa kishindo kampeni zake.

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA KUFANYA MAMBO JIMBO LA CHALINZE, SAFARI HII NI ZAMU YA JESHI LA POLISI

1AMbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akizungumza na uongozi wa polisi Mkoa wa Pwani na Wilaya ya Kipolisi ya Chalinze pamoja na wananchi waliojitokeza katika hafla ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali kwa jeshi hilo zikiwemo kompyuta, mifuko ya Saruji pamoja na fedha vilivyotolewa na mbunge huyo, Kwa ajili ya kutatua matatizo mbalimbali yanayolikabili jeshi la polisi katika utekelezaji wa majukumu yake ya ulizni na usalama wa raia na mali zao. Pamoja na kukabidhi kompyuta hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani