Exclusie gossip: Aunty Ezekiel ‘Kimeeleweka’ aanika tumbo lake dakika za lala salama
Picha ya aliyoitupia mapema leo asubuhi kupitia IG yake ya AuntyEzekiel ambayo hadi sasa imeshapata LIKES nyingi pamoja na Comments huku watu wakimuombea.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Huenda ulipata kusikia habari za Staa wa filamu za kibongo, ‘Bongo Movie’ Aunt Ezekiel ambaye kwenye mtandao wake wa kijamii wa Intagram anatumia IG Auntyezekiel, mapema asubui ya leo Aprili 30, kupitia IG hiyo ametupia picha ya tumbo lake. (Tazama picha hapo juu).
Hata hivyo katika picha hiyo, Aunty...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMartin Skrtel awatoa nishai arsenal dakika za lala salama leo
Refa Michael Oliver aliongeza dakika tisa kufuatia mpira kusimama kwa muda mrefu baada ya Skrtel kuumizwa na kupatiwa huduma ya kwanza baada ya kugongana kwa bahati mbaya na Olivier Giroud wa Arsenal.
Giroud alionekana tayari kaipaisha Arsenal kuelekea kwenye...
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Cassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, Dc
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC. Cassim Mganga akipata picha nje ya mjengo mweupe wa ObamaAunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama.
Shabiki akipata picha...
10 years ago
MichuziCASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNTY ATIA SAINII KITABU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, WASHINGTON, DC
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014. Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Oct
Kura za Lala salama
Kampeni ni ushawishi. Kampeni ni kujikaribisha. Na kampeni ni kukubalika. Ikiwa zimebaki saa chache kufika siku ya siku (day of a day) kuna kila sababu ya kuendelea kufanya kampeni ili uweze kushawishi, kujikaribisha, na kukubalika. Kwa […]
The post Kura za Lala salama appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Habarileo13 Jun
Ni Bajeti ya lala salama
BAJETI Kuu ya Serikali ya Sh trilioni 19.87, imewasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, huku ikiwabana wananchi katika bidhaa na huduma za starehe, na kipaumbele kikubwa kikiwa elimu.
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Mzunguko wa Lala salama
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Bajeti ya lala salama
10 years ago
Mtanzania06 Nov
Kikwete apangua lala salama
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
RAIS Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa mikoa, huku akiwahamisha sita na wengine watatu kuwapangia kazi nyingine.
Taarifa ya Ikulu iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na kusainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, wakuu wapya wa mikoa walioteuliwa ni Halima Dendego anayekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Dk. Ibrahim Msengi, Katavi, Amina Masenza, Iringa na John Mongella, Kagera.
Taarifa hiyo ilisema kabla ya uteuzi huo, Halima Dendego...
10 years ago
CloudsFM19 Dec
Lala salama Aisha Madinda
Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda msibani maeneo ya Kigamboni,jijini Dar.