Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mayai yasipoiva vizuri ni hatari kwa afya

Mayai ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu. Kwa kawaida mayai kabla ya kuliwa, huandaliwa kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuchemshwa, kukaangwa au kuchanganywa na vyakula vingine kama vipande vya viazi mviringo ambavyo ni maarufu kwa jina la chips.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Maadui’ hatari kwa afya ya binadamu

UJUZI wa kitabibu na teknolojia ya afya ya mwanadamu vinaendelea kukua. Licha ya maendeleo hayo, magonjwa ya kuambukiza yanaendelea kuikumba dunia na kuwatesa wanadamu. Serikali nyingi duniani zinaelemewa na gharama...

 

9 years ago

Mwananchi

Picha za ngono ni hatari kwa afya ya ubongo

Utandawazi na ongezeko la maarifa katika teknolojia ya vifaa ya mawasiliano ya kidijitali, umesababisha kusambaa picha na video za ngono.

 

11 years ago

Mwananchi

Viatu hatari kwa afya ya miguu ya wanawake

‘Mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, si katika Tanzania bali dunia nzima.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwa nini shirika la afya duniani linasema hatua ya kujishika uso ni hatari kwa maisha yako?

Ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus kuingia katika miili yetu, madaktari na maafisa wa afya wanatuambia kutoshika macho yetu, pua na mdomo. Lakini hilo sio rahisi kama inavyofikiriwa.

 

10 years ago

GPL

UKOSEFU WA VYOO SHULENI ILEMELA HATARI KWA AFYA ZA WANAFUNZI NA WALIMU

Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na  Maendeleo. Ilemela ni moja kati ya majimbo saba yanayounda Mkoa wa Mwanza ambalo linaongozwa na Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na  Maendeleo (CHADEMA). Wiki iliyopita, Uwazi lilitembelea Kata za Nyakato, Mecco, Buzuruga, Nyasaka, Ilemela, Kahama, Kiseke, Sangabuye, Kayenze, Bugongwa, Shibuda, Pasiansi, Kawekamo, Kitangiri, Kirumba,...

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Vinywaji baridi vya kuchangamsha hatari kwa afya zetu

Oktoba 2014, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilionya ongezeko la vinywaji vya kuchangamsha. Takwimu za WHO zilinguruma, “energy drinks” (kwa kimombo), hutumiwa zaidi na asilimia 68 ya vijana, watoto chini ya miaka 10 asilimia 18, na asilimia 30 ya watu wazima. Onyo lilizingatia madhara ya vinywaji hivi vyenye ladha tamu inayowavutia watoto.

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA TANCDA WAMPONGEZA WAZIRI WA AFYA KUKEMEA MATUMIZI YA TUMBAKU KWA KUWA NI HATARI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
VIONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza (TANCDA)limeamua kutoa pongezi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kwa hatua yake ya kukemea matumizi ya tumbaku kwa kuwa ni hatari kwa afya.
Kwa mujibu wa TANCDA ni kwamba tamko la Waziri Ummy Mwalimu linaonesha namna ambavyo Serikali ya Awamu ya Tano inavyojali afya za Watanzania, lakini pia kulinda maslahi ya kiuchumi na kijamii.Waziri wakati akizindua Ripoti...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI NI AFYA, NENDA NAYO VIZURI UISHI, UKIKOSEA NI KIFO CHA HARAKA-2

Kama nilivyogusia wiki iliyopita ni kuwa mapenzi yakienda mrama husababisha moyo ushindwe kufanya kazi sawasawa kisha kutengeneza sumu hatari kwenye mishipa ya damu, huathiri na kuharibu kabisa mzunguko wa damu kwenye ubongo, hivyo kusababisha oksijeni ikose mtiririko mzuri na baada ya hapo ni madhara makubwa ya kiafya kama siyo kifo. Hakikisha unayewekeza mapenzi kwake, naye yupo tayari kwa ajili yako. Penzi la upande mmoja...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI NI AFYA, NENDA NAYO VIZURI UISHI, UKIKOSEA NI KIFO CHA HARAKA

Changanua mambo inavyotakiwa, kadiri unavyoyafanya maisha yako kuwa na majanga, ndivyo na umri wako unavyoufupisha. Hii ikupe changamoto ya kuchagua jema kati ya mambo mawili. Kuongeza siku za kuishi au kuzipunguza na kukielekea kifo cha haraka. Mantiki hapa ni namna ya kuyatumia mapenzi ili kupata umri kulingana na namna utakavyokadiriwa na Mwenyezi Mungu. Vilevile, ni jinsi unavyokwenda kinyume nayo, matokeo yake yakakufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani