UKOSEFU WA VYOO SHULENI ILEMELA HATARI KWA AFYA ZA WANAFUNZI NA WALIMU
![](http://api.ning.com:80/files/nLML9an*avp4XYY6o6BHm9K9Nt*Qn5lz007QyngzPkLYyJ*NRGD99DeF9Tpmsoell3sJrxineu05DJwVlAAkvXRv3c221i6n/Mwanzakiwia1.jpg?width=650)
Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Ilemela ni moja kati ya majimbo saba yanayounda Mkoa wa Mwanza ambalo linaongozwa na Mheshimiwa Highness Kiwia kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wiki iliyopita, Uwazi lilitembelea Kata za Nyakato, Mecco, Buzuruga, Nyasaka, Ilemela, Kahama, Kiseke, Sangabuye, Kayenze, Bugongwa, Shibuda, Pasiansi, Kawekamo, Kitangiri, Kirumba,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-KEFamnTjIgs/VKvL1N2AOII/AAAAAAAG7sQ/lRFFj2RfHjI/s72-c/mfuko4.jpg)
Mahiza aagiza wakurugenzi kutofungua sekondari zisizo na vyoo vya walimu na wanafunzi Mkoani lindi
![](http://3.bp.blogspot.com/-KEFamnTjIgs/VKvL1N2AOII/AAAAAAAG7sQ/lRFFj2RfHjI/s1600/mfuko4.jpg)
Mkuu wa mkoa wa Lindi,Mwantumu Mahiza amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zilizopo katika mkoa huu wahakikishe shule zote za sekondari ambazo hazina vyoo kwa ajili ya matumizi ya walimu wa shule hizo zijenge kabla hazijafunguliwa.
Mahiza alitoa agizo hilo katika kijiji cha Kilimarondo wilayani Nachingwea katika ziara yake ya siku tatu wilayani Nachingwea.Ambapo alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ujenzi wa maabara kwenye shule za...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Bvt5RuTSCtA/XteoeoMG5tI/AAAAAAALsgo/Kc9AmjZD1os5AeYP2aivaoEJl9BQCgevgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-03%2Bat%2B4.10.13%2BPM.jpeg)
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Viashiria hatari kampeni za uchaguzi Ilemela
UCHAGUZI Mkuu katika Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza unakabiliwa na hatari ya kutofanyika kwa uhur
Christopher Gamaina
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Nani anajali matumizi ya vyakula bora kwa wanafunzi shuleni?
9 years ago
StarTV15 Nov
Wanafunzi Shule ya Msingi Raranya Rorya wasitishiwa masomo kwa ukosefu wa choo.
Wanafunzi zaidi ya mia tano wa shule ya msingi Raranya wilayani Rorya mkoani Mara wamelazimika kusimama masomo kwa zaidi ya miezi mitano kutokana na shule hiyo kufungwa kwa kutokuwa na choo.
Uongozi wa shule umetoa maelezo hayo kwa mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo kufanya ziara ya kushutukiza na kukuta shule hiyo haina wanafunzi zaidi ya wa darasa la nne wanaoendelea na masomo.
Akiongea na star tv katika shule ya msingi Raranya ,mwl Magdalena John amekiri kufungwa kwa shule hiyo, huku...
10 years ago
StarTV14 Apr
Ukosefu wa chakula shuleni, TAMISEMI yawalaumu Wakuu wa shule waliozifunga.
Na Gloria Matola
Dar Es Salaam
Serikali imewaagiza wakuu wa shule za sekondari katika mikoa ya Kagera, Kilimanjaro, Dodoma na Tabora waliozifunga shule kwa madai ya kukosa chakula kuzifungua kutokana na kupelekwa pesa kwa kila halmashauri ili kukidhi mahitaji ya chakula katika shule hizo.
Katibu mkuu wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa Jumanne Sagini amesema Serikali imetenga shilingi billion 28.1 kwa kila Halmashauri kwa shule za sekondari za bweni kwaajili ya chakula ambapo hadi...
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Walimu wakosa vyoo
WALIMU wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Mandewa katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida hawana vyoo kwa miaka nane sasa, halia ainayowalazimu kutumia vyoo vya wanafunzi. Kufuatia hali hiyo,...