Ukosefu wa chakula shuleni, TAMISEMI yawalaumu Wakuu wa shule waliozifunga.
Na Gloria Matola
Dar Es Salaam
Serikali imewaagiza wakuu wa shule za sekondari katika mikoa ya Kagera, Kilimanjaro, Dodoma na Tabora waliozifunga shule kwa madai ya kukosa chakula kuzifungua kutokana na kupelekwa pesa kwa kila halmashauri ili kukidhi mahitaji ya chakula katika shule hizo.
Katibu mkuu wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa Jumanne Sagini amesema Serikali imetenga shilingi billion 28.1 kwa kila Halmashauri kwa shule za sekondari za bweni kwaajili ya chakula ambapo hadi...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAKUU WA SHULE WALIOZIFUNGA SHULE ZAO KIMAKOSA, KUKIONA CHA MOTO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nLML9an*avp4XYY6o6BHm9K9Nt*Qn5lz007QyngzPkLYyJ*NRGD99DeF9Tpmsoell3sJrxineu05DJwVlAAkvXRv3c221i6n/Mwanzakiwia1.jpg?width=650)
UKOSEFU WA VYOO SHULENI ILEMELA HATARI KWA AFYA ZA WANAFUNZI NA WALIMU
10 years ago
MichuziUKOSEFU WA CHAKULA MASHULENI WACHANGIA UTORO
Na Woinde Shizza,Arusha
Ukosefu wa Chakula sheleni hususan zile zinazomilikiwa na serikali
umetajwa kuwa chanzo kikubwa kinasababisha wanafunzi kutoroka
mashuleni na kwenda kujitafutia chakula hali inayoathiri taaluma na
maendeleo ya elimu nchini.
Mwanakijiji wa kijiji cha Arkata Kipara Ngine amesema kuwa watoto
wengi wamekua wakitoroka shuleni kwa kukosa chakula hivyo kupelekea
idadi ndogo ya mahudhurio mashuleni.
Kipara ameihasa saerikali kwa kushirikiana na mashirika binafsi pamoja
na wazazi...
10 years ago
Habarileo03 Oct
Chakula shuleni chapunguza wajawazito
SHULE ya Sekondari Kilimani, Manispaa ya Sumbawanga imefanikiwa kupunguza idadi ya wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito na kukatiza masomo. Hii ni baada ya kuandaa ratiba inayowafanya wanafunzi kutumia muda wao mwingi kujisomea shuleni hapo hadi nyakati za jioni.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwIl-QZJJVm2rf6l4nHYAD53GlNbxLfmeamppCP2g7Cqc0lL1vG-khPPVroK-fjPzuVnKwaf1ml2T6Ieeb*TqCg5/TAMISEMI1.jpg?width=650)
TAMISEMI YATOA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA WAPYA
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Nzige huenda wakasababisha ukosefu wa chakula na utapia mlo
10 years ago
Habarileo05 Oct
Wagoma kuchanga Sh 500 kuwezesha chakula shuleni
SHULE 27 za msingi katika Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, zimetishiwa kuondolewa wenye mpango wa kupatiwa chakula shuleni unaoendeshwa na Shirika la Chakula Duniani (WFP) kutokana na wazazi kugoma kuchangia kati ya Sh 500 na Sh 1,000 kwa mwezi ili watoto wao wapate chakula shuleni.
5 years ago
BBCSwahili29 May
Virusi vya corona: Makahaba wahangaika kwa ukosefu wa chakula
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CpMxqCMzigGM7*eRJWeleQQCPBXt-ePpSdJ8XaQz67gJe1Ak*7swzkqk-v89hIAZI8kWpkqIlMGx2qbwM6a3*fP/DarasalamuzikikatikatahasisiyashuleyamuzikiReutlingenJhikomananakubalikakimataifa.jpg?width=650)
JHIKOMAN ATEMBELEA SHULE YA MUZIKI YA REUTLINGEN,UJERMANI : WANAFUNZI NA WAKUU WA SHULE WAAHIDI KUTEMBELEA BAGAMOYO ! KILA WAKATI