Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chakula shuleni chapunguza wajawazito

SHULE ya Sekondari Kilimani, Manispaa ya Sumbawanga imefanikiwa kupunguza idadi ya wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito na kukatiza masomo. Hii ni baada ya kuandaa ratiba inayowafanya wanafunzi kutumia muda wao mwingi kujisomea shuleni hapo hadi nyakati za jioni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wagoma kuchanga Sh 500 kuwezesha chakula shuleni

SHULE 27 za msingi katika Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, zimetishiwa kuondolewa wenye mpango wa kupatiwa chakula shuleni unaoendeshwa na Shirika la Chakula Duniani (WFP) kutokana na wazazi kugoma kuchangia kati ya Sh 500 na Sh 1,000 kwa mwezi ili watoto wao wapate chakula shuleni.

 

10 years ago

StarTV

Ukosefu wa chakula shuleni, TAMISEMI yawalaumu Wakuu wa shule waliozifunga.

Na Gloria Matola

Dar Es Salaam

 

Serikali imewaagiza wakuu wa shule za sekondari katika mikoa ya Kagera, Kilimanjaro, Dodoma na Tabora waliozifunga shule kwa madai ya kukosa chakula kuzifungua kutokana na kupelekwa pesa kwa kila halmashauri ili kukidhi mahitaji ya chakula katika shule hizo.

 

Katibu mkuu wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa Jumanne Sagini amesema Serikali imetenga shilingi billion 28.1 kwa kila Halmashauri kwa shule za sekondari za bweni kwaajili ya chakula ambapo hadi...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 BAHATI MURIGA KUHUDHURIA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI WASHINGTON DC

Kutoka kulia ni Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2013 Bahati Muriga , Edina Kiogwe aliyeshiriki Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 na Eva Mogeni pia alikuwa Mshiriki wa Shindano la mama Shujaa wa Chakula ambalo linaandaliwa na OXFAM Kupitia Kampeni yake ya Grow Aliyekuwa Mshiriki wa Shidano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa nne 2015 Eva Mogeni (Kushoto) akielezea kuhusu safari yao ya kwenda Addis Ababa Ethiopia kwa ajili ya  kuhudhuria mkutano wa African Rural Woman Assembly (ARWAA) ...

 

9 years ago

Michuzi

VOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO WASHINGTON DC KWA AJILI YA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

 Kushoto ni Mtangazaji Voice of America  wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima hasa wanawake.Bahati Muliga(Kushoto)  Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo inalipa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Umasikini unaua wajawazito’

MUUGUZI Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, Revocatus Dominick, amesema kina mama wengi wamekuwa wakipoteza maisha wakati wa kujifungua, kutokana na umasikini wa vipato. Dominick alitoa kauli hiyo alipozungumza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yawakumbuka wajawazito

WAJAWAZITO 225,000 wanaotumia mtandao kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom wamejiunga na huduma ya ujumbe mfupi wa uzazi salama chini ya mpango wa Healthy Pregnancy, Healthy Baby (HPHB). Mpango...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,wajawazito hulala na wakunga?

Wakunga wa kiume huwadanganya wanawake wajawazito katika makaazi ya mijini kufanya tendo la ngono kabla ya kujifungua.

 

10 years ago

Habarileo

DC awaokoa wanafunzi wajawazito

BAADHI ya wanafunzi walioacha masomo, baada ya kupata ujauzito wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameelezea kujutia makosa hayo na kumuomba Mkuu wa Wilaya kuwasaidia warudi shuleni.

 

10 years ago

Vijimambo

Simanzi shuleni

Wanafunzi wawili waangukiwa na ukuta, wafa, Watatu wajeruhiwa, wakimbizwa hospitalini.Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Kihenya Kihenya.
Wanafunzi wawili wa darasa la nne katika shule ya msingi ya Unity, iliyopo Chamazi, eneo la Mbagala, Manispaa ya Temeke, wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa darasa la shule hiyo uliogongwa na gari.

Kadhalika, wanafunzi watatu wamejeruhiwa baada ya kijana wa kazi wa mmiliki wa shule hiyo, ambaye siyo dereva kujaribu kuendesha gari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani