Simanzi shuleni
Wanafunzi wawili waangukiwa na ukuta, wafa, Watatu wajeruhiwa, wakimbizwa hospitalini.Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Kihenya Kihenya.
Wanafunzi wawili wa darasa la nne katika shule ya msingi ya Unity, iliyopo Chamazi, eneo la Mbagala, Manispaa ya Temeke, wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa darasa la shule hiyo uliogongwa na gari.
Kadhalika, wanafunzi watatu wamejeruhiwa baada ya kijana wa kazi wa mmiliki wa shule hiyo, ambaye siyo dereva kujaribu kuendesha gari...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 Feb
Simanzi, vilio vyatawala Dar
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIMANZI na vilio vimetawala jana eneo la Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mhandisi mstaafu wa ndege, marehemu Luteni David Mpira (68), ambaye alifariki pamoja na familia yake ya watu watano baada ya nyumba yao kuungua na moto usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Mpira ambaye enzi za uhai wake alikuwa mwanajeshi, alikutwa na umauti huo saa tisa usiku pamoja na mke wake Celina Mpira (62), mtoto wake Lucas Mpira (37), shemeji yake Samuel Yegera...
9 years ago
Habarileo27 Sep
Simanzi Kombani arejeshwa nyumbani
SIMANZI, majonzi na vilio vilitawala jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, wakati ndege ya Shirika la Ndege la Emirates, iliyobeba mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani (pichani), ilipokuwa ikitua katika uwanja huo.
10 years ago
Habarileo03 Mar
Vilio, simanzi mazishi ya Komba
RAIS Jakaya Kikwete jana ameongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kuaga mwili wa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba aliyefariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya TMJ ikielezwa kuwa kaondoka kama moto wa kiberiti.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*r6sbmstWSOG-IQGMd52DN5*i6J3J6wtcKVA9peCQ1m3PH7hJPJpSv-l2EnoRzN7l6V1avSXST*pZ9mqy1RjRFP/ngaluma.jpg)
SIMANZI MAZISHI YA AMINA NGALUMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3Ltc5MPKc1fceP1mK*24kxzBiEYTCIkNMV48U2ZCyn1Q9qMwsw2jXzF4806zdyTI9fVxCIvoUuIdUMeF*JvHvJCn/3msiba2.jpg)
NI SIMANZI MSIBA WA MSANII RECHO
11 years ago
Mwananchi23 May
Simanzi zatawala mazishi ya meneja wa Ewura
11 years ago
GPL27 May
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Bomoabomoa yaacha vilio, simanzi Dar
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Mauaji Garissa:Simanzi yatanda Nairobi