Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomoabomoa yaacha vilio, simanzi Dar

Manispaa ya Kinondoni jana ilisababisha vilio kwa wakazi wa maeneo wa wilaya hiyo ilipoanza ubomoaji wa nyumba zilizojengwa maeneo ya wazi na hifadhi kinyume cha sheria. Juzi, Kamishna wa Ardhi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Moses Kusirika alitangaza operesheni ya kubomoa nyumba hizo kuanzia jana na kuwa baada ya Kinondoni watahamia wilaya nyingine na mikoani pia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Simanzi, vilio vyatawala Dar

DSC_0691

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIMANZI na vilio vimetawala jana eneo la Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mhandisi mstaafu wa ndege, marehemu Luteni David Mpira (68), ambaye alifariki pamoja na familia yake ya watu watano baada ya nyumba yao kuungua na moto usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Mpira ambaye enzi za uhai wake alikuwa mwanajeshi, alikutwa na umauti huo saa tisa usiku pamoja na mke wake Celina Mpira (62), mtoto wake Lucas Mpira (37), shemeji yake Samuel Yegera...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni simanzi na vilio mazishi ya wanafamilia sita Dar

>Huzuni, simanzi na majonzi jana vilitawala maeneo ya Kipunguni A na baadaye kwenye Makaburi ya Airwing Ukonga, Ilala wakati miili ya watu sita waliofariki dunia kwa kuungua moto Jumamosi alfajiri ilipozikwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bomoabomoa yasababisha simanzi Dar es Salaam

Serikali Tanzania imeanza kubomoa nyumba zote zilizojengwa kinyume na sheria katika maeneo ya wazi na maeneo ya hifadhiya barabara.

 

10 years ago

Habarileo

Vilio, simanzi mazishi ya Komba

Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba akilia wakati akiaga mwili wa marehemu John Komba, jana.(Picha na Mpigapicha Wetu)RAIS Jakaya Kikwete jana ameongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kuaga mwili wa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba aliyefariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya TMJ ikielezwa kuwa kaondoka kama moto wa kiberiti.

 

11 years ago

GPL

NI VILIO, SIMANZI NYUMBANI KWA MAREHEMU RECHO

Miili ya marehemu Recho na mwanae ikiwasili nyumbani kwa marehemu eneo la Palestina jijini Dar.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bomoabomoa Arusha yaacha watu 216 bila makazi

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, imebomoa nyumba zake kwenye maeneo ya Kilombero, Themi na Kaloleni ambazo zilikuwa zinakaliwa na wapangaji 216. Hatua hiyo imepokewa kwa hisia tofauti miongoni mwa madiwani...

 

10 years ago

GPL

MAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.…

 

10 years ago

Vijimambo

MAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.…Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.Vijana walio katika Kituo cha soka cha Marsh Academy kilichokuwa kikiongozwa na marehemu wakishusha jeneza la mwalimu wao kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Hiyo ni kitu mbaya’: Vilio, simanzi baada ya mabomu kuua 6 Nairobi [VIDEO]

Mabomu hayo yalirindima saa moja unusu jioni katika vijiwe vya Sheraton Café na The New Kwa Muzairua Super Grill Centre, Eastleigh. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani