MAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA
Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.…
Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.
Vijana walio katika Kituo cha soka cha Marsh Academy kilichokuwa kikiongozwa na marehemu wakishusha jeneza la mwalimu wao kwenye Uwanja wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA
10 years ago
Mtanzania11 Feb
Simanzi, vilio vyatawala Dar
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIMANZI na vilio vimetawala jana eneo la Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mhandisi mstaafu wa ndege, marehemu Luteni David Mpira (68), ambaye alifariki pamoja na familia yake ya watu watano baada ya nyumba yao kuungua na moto usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Mpira ambaye enzi za uhai wake alikuwa mwanajeshi, alikutwa na umauti huo saa tisa usiku pamoja na mke wake Celina Mpira (62), mtoto wake Lucas Mpira (37), shemeji yake Samuel Yegera...
10 years ago
Habarileo03 Mar
Vilio, simanzi mazishi ya Komba
RAIS Jakaya Kikwete jana ameongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kuaga mwili wa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba aliyefariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya TMJ ikielezwa kuwa kaondoka kama moto wa kiberiti.
10 years ago
GPLSYLVESTRE MARSH AAGWA JIJINI DAR
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Ni simanzi na vilio mazishi ya wanafamilia sita Dar
10 years ago
GPLSylvestre Marsh: Kwa heri kocha
10 years ago
GPLNdugu wa Sylvestre Marsh wagombania laki 5 za Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6mkNcIQw0RNT7Jy7c6qaLMy5nrUZo*Ebt-3vBad2IyG7E5O5LqcAfcus2QHjVNlpl9MldcXFfClyzcELB3gioMX/2.jpg?width=650)
MAISHA PLUS: VILIO VYATAWALA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WO5mDj01tcQ/VQh1v_UlN5I/AAAAAAAHLIw/MDfGpIZk9AY/s72-c/1.jpg)
Kocha wa Zamani wa Taifa Stars,marehemu Sylvester Marsh azikwa leo jijini Mwanza
![](http://3.bp.blogspot.com/-WO5mDj01tcQ/VQh1v_UlN5I/AAAAAAAHLIw/MDfGpIZk9AY/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bJPHSmsAeyg/VQhrlhlwdnI/AAAAAAABL5A/_QDH4Rn4BDE/s1600/19.jpg)