Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndugu wa Sylvestre Marsh wagombania laki 5 za Simba

Marehemu Sylvestre Marsh enzi za uhai wake.
Na Leah Marco,Mwanza
KATIKA hali ya kushangaza, ndugu wa marehemu Sylvestre Marsh aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, aliyefariki dunia Machi 14, mwaka huu, wameingia kwenye gogoro zito la kugombania fedha zilizotolewa na Klabu ya Simba kama ubani kwa Kituo cha Marsh Athletic Centre alichokuwa akikimiliki. Hali hiyo imezua zogo baada ya baadhi ya ndugu wa marehemu kudai kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Sylvestre Marsh: Kwa heri kocha

Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Na Martha Mboma
Dar es Salaam
INASIKITISHA, ni msiba mkubwa kwa wanafamilia wa soka hapa nchini ambao hakika umeacha pengo ambalo ni vigumu kuzibika kutokana na kifo cha kocha wa zamani wa Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Alilazwa kwa mara nyingine tena mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki mbili zilizopita akitokea Mwanza, baada ya hali yake kuwa mbaya mpaka...

 

10 years ago

GPL

SYLVESTRE MARSH AAGWA JIJINI DAR

Padre akiongoza ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Waombolezaji wakifuatilia ibada ya kumuaga Marsh katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Michezo ya Championi, Saleh Ally akiaga mwili wa kocha Marsh.…

 

10 years ago

GPL

MAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.…

 

10 years ago

Vijimambo

MAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.…Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.Vijana walio katika Kituo cha soka cha Marsh Academy kilichokuwa kikiongozwa na marehemu wakishusha jeneza la mwalimu wao kwenye Uwanja wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga atembelea AICC na Laki Laki Arusha

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga(kulia)akiwasili kwenye  kituo cha mikutano cha  kimataifa cha Arusha International Conference Center (AICC) ambacho ni sehemu ya Wizara hiyo,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa AICC, Elishilia Kaaya. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga akisaini kitabu cha wageni. Mkurugenzi Mtendaji wa  Arusha International Conference Center...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau Manyara wagombania timu

MGOGORO umeibuka juu ya umiliki halali wa timu ya Tanzanite FC ambayo ni mabingwa wa Mkoa wa Manyara, baada ya wadau wa soka katika mji mdogo wa Mirerani kuvutana na...

 

10 years ago

GPL

Ndugu wa Tambwe asaini Simba kwa 21m

Amisi Tambwe. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas TIMU ya Simba imefanikisha usajili wa beki wa pembeni raia wa Burundi, Emiry Nibomana kwa dau la dola 10,000 (zaidi ya shilingi milioni 21). Beki huyo mwenye uwezo wa kucheza namba 2 na 3, tayari alikuwa visiwani Zanzibar ambako timu yake hiyo iliweka kambi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam, jana. Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka...

 

9 years ago

TheCitizen

SYLVESTRE TETCHIADA : The lot of urban refugees in Cameroon

Eleven-year-old Christian and 13-year-old Pauline (not their real names) stare down blankly at the health cards grasped tightly in their hands at the Red Cross medical centre in Cameroon’s capital.

 

10 years ago

Michuzi

NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE

Familia ya Marehemu Robert Mwang'onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang'onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM - Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015. Anamatatizo la kupoteleza Kumbukumbu.Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang'onda, 0682 822 111/ 0754 631 888.Au atoe taarifa kituo chochote cha Polisi kwa URP/RB/2331/2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani