Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.…Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.Vijana walio katika Kituo cha soka cha Marsh Academy kilichokuwa kikiongozwa na marehemu wakishusha jeneza la mwalimu wao kwenye Uwanja wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Simanzi, vilio vyatawala Dar

DSC_0691

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIMANZI na vilio vimetawala jana eneo la Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mhandisi mstaafu wa ndege, marehemu Luteni David Mpira (68), ambaye alifariki pamoja na familia yake ya watu watano baada ya nyumba yao kuungua na moto usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Mpira ambaye enzi za uhai wake alikuwa mwanajeshi, alikutwa na umauti huo saa tisa usiku pamoja na mke wake Celina Mpira (62), mtoto wake Lucas Mpira (37), shemeji yake Samuel Yegera...

 

10 years ago

Habarileo

Vilio, simanzi mazishi ya Komba

Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba akilia wakati akiaga mwili wa marehemu John Komba, jana.(Picha na Mpigapicha Wetu)RAIS Jakaya Kikwete jana ameongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kuaga mwili wa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba aliyefariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya TMJ ikielezwa kuwa kaondoka kama moto wa kiberiti.

 

10 years ago

GPL

SYLVESTRE MARSH AAGWA JIJINI DAR

Padre akiongoza ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Waombolezaji wakifuatilia ibada ya kumuaga Marsh katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Michezo ya Championi, Saleh Ally akiaga mwili wa kocha Marsh.…

 

10 years ago

Mwananchi

Ni simanzi na vilio mazishi ya wanafamilia sita Dar

>Huzuni, simanzi na majonzi jana vilitawala maeneo ya Kipunguni A na baadaye kwenye Makaburi ya Airwing Ukonga, Ilala wakati miili ya watu sita waliofariki dunia kwa kuungua moto Jumamosi alfajiri ilipozikwa.

 

10 years ago

GPL

Sylvestre Marsh: Kwa heri kocha

Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Na Martha Mboma
Dar es Salaam
INASIKITISHA, ni msiba mkubwa kwa wanafamilia wa soka hapa nchini ambao hakika umeacha pengo ambalo ni vigumu kuzibika kutokana na kifo cha kocha wa zamani wa Taifa Stars, Sylvestre Marsh. Alilazwa kwa mara nyingine tena mwaka huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki mbili zilizopita akitokea Mwanza, baada ya hali yake kuwa mbaya mpaka...

 

10 years ago

GPL

Ndugu wa Sylvestre Marsh wagombania laki 5 za Simba

Marehemu Sylvestre Marsh enzi za uhai wake.
Na Leah Marco,Mwanza
KATIKA hali ya kushangaza, ndugu wa marehemu Sylvestre Marsh aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, aliyefariki dunia Machi 14, mwaka huu, wameingia kwenye gogoro zito la kugombania fedha zilizotolewa na Klabu ya Simba kama ubani kwa Kituo cha Marsh Athletic Centre alichokuwa akikimiliki. Hali hiyo imezua zogo baada ya baadhi ya ndugu wa marehemu kudai kuwa...

 

11 years ago

GPL

MAISHA PLUS: VILIO VYATAWALA

Washiriki wa Maisha plus 'Rekebisha' wakifuatilia mchujo. Washiriki wa kiume wa Maisha Plus 'Rekebisha' wakisubiri kuitwa katika mchujo. Washiriki wa Maisha Plus…

 

10 years ago

Michuzi

Kocha wa Zamani wa Taifa Stars,marehemu Sylvester Marsh azikwa leo jijini Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliekuwa Kocha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, leo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.Marehemu Marsh amezikwa kwenye makaburi ya Igoma nje kidogo ya Jiji la Mwanza.Picha zote na G Sengo Blog.Familia ya Marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, ikiwa kwenye huzuni kubwa baada ya kuondokewa na mpendwa wao,wakati wa ibada maalum ya kumuada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani