Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga atembelea AICC na Laki Laki Arusha
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga(kulia)akiwasili kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Arusha International Conference Center (AICC) ambacho ni sehemu ya Wizara hiyo,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa AICC, Elishilia Kaaya. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga akisaini kitabu cha wageni. Mkurugenzi Mtendaji wa Arusha International Conference Center...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAZIRI DKT. MAHIGA ATEMBELEA KITUO CHA MIKUTANO CHA KIMATAIFA CHA AICC JIJINI ARUSHA
Balozi Mahiga alisema hayo Desemba 19 baada ya kufanya ziara kwenye eneo hilo na Kituo cha mikutano cha kimataifa cha AICC .
Eneo hilo litajengwa Mahakama ya Kimataifa ya Kimbari(MICT)Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR) na...
5 years ago
CCM BlogTANZIA: WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MH. BALOZI DKT. AUGUSTINE MAHIGA AFARIKI DUNIA...RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
Mhe. Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Jijini Dodoma na amefikishwa hospitali akiwa tayari ameshafariki dunia.
Mhe. Rais Magufuli ametoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMORO ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MATAIFA
5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AMEMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MAREHEMU BALOZI AUGUSTINE MAHIGA MKOANI IRIBGA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John ...
5 years ago
CCM BlogGSM WAMLILIA BALOZI AUGUSTINE MAHIGA
Kwenye taarifa iliyotolewa na GSM GROUP, Ghalib amemuelezea Marehemu kama Mtu wa aina yake na mwenye unyenyekevu ambao sio kila mmoja anao.... “Tutakukumbuka kwa upole wako, ukarimu pamoja na unyenyekevu” - Ghalib.
5 years ago
CCM Blog5 years ago
MichuziWASIFU WA MAREHEMU BALOZI DKT AUGUSTINE MAHIGA
Dk Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945 huko Tosamanganga, Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa (atatimiza miaka 75 ifikapo Agosti mwaka huu). Amesoma elimu ya msingi katika shule za Serikali enzi ya mkoloni na alihitimu darasa la VIII muda mfupi baada ya uhuru. Safari ya elimu ya Dk Mahiga ilikuwa ya umaskini uliopitiliza, alishindwa kuendelea na elimu ya sekondari kwa kutokuwa na fedha za kulipia mashuka na mablanketi hadi aliposaidiwa na msamaria mwema kutoka Shirika la Kennedy wakati...
10 years ago
Mwananchi02 May
Dk Augustine Mahiga, balozi mstaafu Umoja wa Mataifa
9 years ago
MichuziDKT. AUGUSTINE MAHIGA KUFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA