Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BURIANI BALOZI DKT AUGUSTINE PHILIP MAHIGA

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WASIFU WA MAREHEMU BALOZI DKT AUGUSTINE MAHIGA


Dk Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945 huko Tosamanganga, Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa (atatimiza miaka 75 ifikapo Agosti mwaka huu). Amesoma elimu ya msingi katika shule za Serikali enzi ya mkoloni na alihitimu darasa la VIII muda mfupi baada ya uhuru. Safari ya elimu ya Dk Mahiga ilikuwa ya umaskini uliopitiliza, alishindwa kuendelea na elimu ya sekondari kwa kutokuwa na fedha za kulipia mashuka na mablanketi hadi aliposaidiwa na msamaria mwema kutoka Shirika la Kennedy wakati...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jakaya Kikwete amzungumzia Marehemu Augustine Philip Mahiga aliyefariki jana

Augustine Philip Mahiga, ambaye amefariki Ijumaa jijini Dodoma ni moja ya wanadiplomasia mahiri kuwahi kutokea nchini Tanzania.

 

5 years ago

CCM Blog

TANZIA: WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MH. BALOZI DKT. AUGUSTINE MAHIGA AFARIKI DUNIA...RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma.

Mhe. Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Jijini Dodoma na amefikishwa hospitali akiwa tayari ameshafariki dunia.
Mhe. Rais Magufuli ametoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job...

 

5 years ago

CCM Blog

GSM WAMLILIA BALOZI AUGUSTINE MAHIGA

   Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM Tanzania Ghalib Said Mohamed ni miongoni mwa wanaomlilia Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Augustine Mahiga aliyefariki leo Dodoma.
Kwenye taarifa iliyotolewa na GSM GROUP, Ghalib amemuelezea Marehemu kama Mtu wa aina yake na mwenye unyenyekevu ambao sio kila mmoja anao.... “Tutakukumbuka kwa upole wako, ukarimu pamoja na unyenyekevu” - Ghalib.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Augustine Mahiga, balozi mstaafu Umoja wa Mataifa

Historia yake Dk Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945 huko Tosamanganga, Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa (atatimiza miaka 70 ifikapo Agosti mwaka huu). Amesoma elimu ya msingi katika shule za Serikali enzi ya mkoloni na alihitimu darasa la VIII muda mfupi baada ya uhuru. Safari ya elimu ya Dk Mahiga ilikuwa ya umaskini uliopitiliza, alishindwa kuendelea na elimu ya sekondari kwa kutokuwa na fedha za kulipia mashuka na mablanketi hadi aliposaidiwa na msamaria mwema kutoka Shirika la...

 

9 years ago

Michuzi

DKT. AUGUSTINE MAHIGA KUFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA

ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA, MHE. DKT. AUGUSTINE MAHIGA MKOANI ARUSHA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga atafanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Arusha kuanzia kesho Jumamosi tarehe 19 Desemba 2015.Atakapokuwa mkoani Arusha, Balozi Mahiga atafanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dkt. Richard Sezibera. Mazungumzo yao...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: Rais DKT Magufuli atangaza kifo cha Waziri Augustine Mahiga






Pichani ni aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge)  aliyefariki leo tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma. 





 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga atembelea AICC na Laki Laki Arusha

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga(kulia)akiwasili kwenye  kituo cha mikutano cha  kimataifa cha Arusha International Conference Center (AICC) ambacho ni sehemu ya Wizara hiyo,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa AICC, Elishilia Kaaya. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga akisaini kitabu cha wageni. Mkurugenzi Mtendaji wa  Arusha International Conference Center...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani