GSM WAMLILIA BALOZI AUGUSTINE MAHIGA
Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM Tanzania Ghalib Said Mohamed ni miongoni mwa wanaomlilia Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Augustine Mahiga aliyefariki leo Dodoma.
Kwenye taarifa iliyotolewa na GSM GROUP, Ghalib amemuelezea Marehemu kama Mtu wa aina yake na mwenye unyenyekevu ambao sio kila mmoja anao.... “Tutakukumbuka kwa upole wako, ukarimu pamoja na unyenyekevu” - Ghalib.
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/Sa8G84KcWmc/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi02 May
Dk Augustine Mahiga, balozi mstaafu Umoja wa Mataifa
Historia yake
Dk Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945 huko Tosamanganga, Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa (atatimiza miaka 70 ifikapo Agosti mwaka huu). Amesoma elimu ya msingi katika shule za Serikali enzi ya mkoloni na alihitimu darasa la VIII muda mfupi baada ya uhuru. Safari ya elimu ya Dk Mahiga ilikuwa ya umaskini uliopitiliza, alishindwa kuendelea na elimu ya sekondari kwa kutokuwa na fedha za kulipia mashuka na mablanketi hadi aliposaidiwa na msamaria mwema kutoka Shirika la...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-nEixCLiFH1U/Xq0qJ3MYafI/AAAAAAALo0k/bzvnR3GNswUX8Y7B4CkzyfPSV_aU3ld7ACLcBGAsYHQ/s72-c/Balozi_Augustine_Mahiga-1-750x375.jpg)
WASIFU WA MAREHEMU BALOZI DKT AUGUSTINE MAHIGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-nEixCLiFH1U/Xq0qJ3MYafI/AAAAAAALo0k/bzvnR3GNswUX8Y7B4CkzyfPSV_aU3ld7ACLcBGAsYHQ/s640/Balozi_Augustine_Mahiga-1-750x375.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-APapVOpDzDQ/XquzLpI_uHI/AAAAAAAC4Tc/IDQkABaHulYvXEBNbwba6ekYUfTKVOmngCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200501_082631.jpg)
TANZIA: WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MH. BALOZI DKT. AUGUSTINE MAHIGA AFARIKI DUNIA...RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
![](https://1.bp.blogspot.com/-APapVOpDzDQ/XquzLpI_uHI/AAAAAAAC4Tc/IDQkABaHulYvXEBNbwba6ekYUfTKVOmngCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200501_082631.jpg)
Mhe. Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Jijini Dodoma na amefikishwa hospitali akiwa tayari ameshafariki dunia.
Mhe. Rais Magufuli ametoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job...
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga atembelea AICC na Laki Laki Arusha
![](http://2.bp.blogspot.com/-bm_xZvGMFNk/Vnd9mWghqDI/AAAAAAAAFOw/eMl7_1caneA/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-SKWwrkc4f64/Vnd9sUlaLII/AAAAAAAAFO4/nPnpl143xhk/s640/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5fUxeKnX1Zc/Vnd9v1vZAFI/AAAAAAAAFPA/RgXmS-Y7guE/s640/3.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aYLnlgQ7ZbY/Xq6KcZ5DUOI/AAAAAAALo4w/npua2-lz6hcONi0TBLl8ZMngCwfXHoU9QCLcBGAsYHQ/s72-c/F87A3513-2.jpg)
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AMEMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MAREHEMU BALOZI AUGUSTINE MAHIGA MKOANI IRIBGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-aYLnlgQ7ZbY/Xq6KcZ5DUOI/AAAAAAALo4w/npua2-lz6hcONi0TBLl8ZMngCwfXHoU9QCLcBGAsYHQ/s640/F87A3513-2.jpg)
9 years ago
MichuziDKT. AUGUSTINE MAHIGA KUFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-q87iFpnjFfQ/Xqw5C65PBcI/AAAAAAAC4Uc/9ctx4XFzf7cZzdxxruzU3Ljxo_86iIPHwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
5 years ago
BBCSwahili02 May
Jakaya Kikwete amzungumzia Marehemu Augustine Philip Mahiga aliyefariki jana
Augustine Philip Mahiga, ambaye amefariki Ijumaa jijini Dodoma ni moja ya wanadiplomasia mahiri kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania