Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM WATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA WAZIRI AUGUSTINE MAHIGA


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TANZIA: WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MH. BALOZI DKT. AUGUSTINE MAHIGA AFARIKI DUNIA...RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma.

Mhe. Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Jijini Dodoma na amefikishwa hospitali akiwa tayari ameshafariki dunia.
Mhe. Rais Magufuli ametoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: Rais DKT Magufuli atangaza kifo cha Waziri Augustine Mahiga






Pichani ni aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge)  aliyefariki leo tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma. 





 

5 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI RAIS MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MAHIGA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kufuatia kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria  Balozi Agostine Mahiga.
Balozi Mahiga alifariki nyumbani wake Mjini Dodoma baada ya kuugua hafla ambapo alipofikishwa hospitali tayari alikwishapoteza uhai na kuzikwa jana Mkoani Iringa.
Katika salamu hizo Dk. Shein alisema amepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kifo cha...

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YATUMA SALAMU ZA POLE KWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MAHIGA


Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa mshituko mkubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mb) kilichotokea leo alfajiri Mei 01, 2020 Jijini Dodoma.
Tume inatoa pole kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuondokewa na kiongozi  mchapakazi, mwadilifu, mzalendo na mwanadiplomasia mahiri aliyeiwakilisha na kuipigania Tanzania katika nyanja za Kimataifa...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete atuma salamu za rambirambi kifo cha Liundi

RAIS Jakaya Kikwete ameeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha ghafla cha aliyekuwa msajili wa kwanza wa vyama vya siasa nchini, George Liundi kilichotokea Januari 12 mwaka huu nyumbani kwake Keko, mjini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

JK atuma salamu za rambirambi kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala


Na Mwamvua Mwinyi
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri wa  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, Nkwabi Ng’wanakilala.
Ng’wanakilala alifariki dunia Juni 27, mwaka huu katika hospitali ya rufani Bugando, jijini Mwanza, baada ya kusumbuliwa na figo.
Katika salamu zilizotumwa  kwa Mkuu wa chuo hicho, Askofu Trcisius Ngalalekumtwa, Rais Kikwete, alisema kifo hicho kimelinyang’anya taifa mwana taaluma mahiri wa habari na mtumishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani