Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jakaya Kikwete amzungumzia Marehemu Augustine Philip Mahiga aliyefariki jana

Augustine Philip Mahiga, ambaye amefariki Ijumaa jijini Dodoma ni moja ya wanadiplomasia mahiri kuwahi kutokea nchini Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

JAKAYA KIKWETE AMZUNGUMZIA MAREHEMU MAHIGA




Makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi ataongoza mazishi ya aliyekuwa waziri wa Sheria na Katiba Dr. Agustine Mahiga ambae alifariki jana Ijumaa jijini Dodoma, baada ya kuukua kwa muda mfupi.Dr. Mahiga atazikwa kwao huko Mkoani Iringa.Augustine Philip Mahiga, ni moja ya wanadiplomasia mahiri kuwahi kutokea nchini Tanzania...Balozi Mahiga, mwanadiplomasia nguli aliyehudumu kwa miongo mitanoPia ni moja kati ya watu wachache amabao wamefanya kazi katika ngazi za juu na...

 

5 years ago

Michuzi

WASIFU WA MAREHEMU BALOZI DKT AUGUSTINE MAHIGA


Dk Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945 huko Tosamanganga, Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa (atatimiza miaka 75 ifikapo Agosti mwaka huu). Amesoma elimu ya msingi katika shule za Serikali enzi ya mkoloni na alihitimu darasa la VIII muda mfupi baada ya uhuru. Safari ya elimu ya Dk Mahiga ilikuwa ya umaskini uliopitiliza, alishindwa kuendelea na elimu ya sekondari kwa kutokuwa na fedha za kulipia mashuka na mablanketi hadi aliposaidiwa na msamaria mwema kutoka Shirika la Kennedy wakati...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AMEMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MAREHEMU BALOZI AUGUSTINE MAHIGA MKOANI IRIBGA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua  kwenye Kaburi  la  aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati  wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John ...

 

5 years ago

CCM Blog

GSM WAMLILIA BALOZI AUGUSTINE MAHIGA

   Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM Tanzania Ghalib Said Mohamed ni miongoni mwa wanaomlilia Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Augustine Mahiga aliyefariki leo Dodoma.
Kwenye taarifa iliyotolewa na GSM GROUP, Ghalib amemuelezea Marehemu kama Mtu wa aina yake na mwenye unyenyekevu ambao sio kila mmoja anao.... “Tutakukumbuka kwa upole wako, ukarimu pamoja na unyenyekevu” - Ghalib.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Augustine Mahiga, balozi mstaafu Umoja wa Mataifa

Historia yake Dk Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945 huko Tosamanganga, Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa (atatimiza miaka 70 ifikapo Agosti mwaka huu). Amesoma elimu ya msingi katika shule za Serikali enzi ya mkoloni na alihitimu darasa la VIII muda mfupi baada ya uhuru. Safari ya elimu ya Dk Mahiga ilikuwa ya umaskini uliopitiliza, alishindwa kuendelea na elimu ya sekondari kwa kutokuwa na fedha za kulipia mashuka na mablanketi hadi aliposaidiwa na msamaria mwema kutoka Shirika la...

 

9 years ago

Michuzi

DKT. AUGUSTINE MAHIGA KUFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA

ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI, KIKANDA NA KIMATAIFA, MHE. DKT. AUGUSTINE MAHIGA MKOANI ARUSHA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga atafanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Arusha kuanzia kesho Jumamosi tarehe 19 Desemba 2015.Atakapokuwa mkoani Arusha, Balozi Mahiga atafanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dkt. Richard Sezibera. Mazungumzo yao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani