Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hiyo ni kitu mbaya’: Vilio, simanzi baada ya mabomu kuua 6 Nairobi [VIDEO]

Mabomu hayo yalirindima saa moja unusu jioni katika vijiwe vya Sheraton Café na The New Kwa Muzairua Super Grill Centre, Eastleigh. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Vilio, simanzi mazishi ya Komba

Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba akilia wakati akiaga mwili wa marehemu John Komba, jana.(Picha na Mpigapicha Wetu)RAIS Jakaya Kikwete jana ameongoza mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kuaga mwili wa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba aliyefariki Jumamosi jioni katika Hospitali ya TMJ ikielezwa kuwa kaondoka kama moto wa kiberiti.

 

10 years ago

Mtanzania

Simanzi, vilio vyatawala Dar

DSC_0691

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIMANZI na vilio vimetawala jana eneo la Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mhandisi mstaafu wa ndege, marehemu Luteni David Mpira (68), ambaye alifariki pamoja na familia yake ya watu watano baada ya nyumba yao kuungua na moto usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Mpira ambaye enzi za uhai wake alikuwa mwanajeshi, alikutwa na umauti huo saa tisa usiku pamoja na mke wake Celina Mpira (62), mtoto wake Lucas Mpira (37), shemeji yake Samuel Yegera...

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yaacha vilio, simanzi Dar

Manispaa ya Kinondoni jana ilisababisha vilio kwa wakazi wa maeneo wa wilaya hiyo ilipoanza ubomoaji wa nyumba zilizojengwa maeneo ya wazi na hifadhi kinyume cha sheria. Juzi, Kamishna wa Ardhi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Moses Kusirika alitangaza operesheni ya kubomoa nyumba hizo kuanzia jana na kuwa baada ya Kinondoni watahamia wilaya nyingine na mikoani pia.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni simanzi na vilio mazishi ya wanafamilia sita Dar

>Huzuni, simanzi na majonzi jana vilitawala maeneo ya Kipunguni A na baadaye kwenye Makaburi ya Airwing Ukonga, Ilala wakati miili ya watu sita waliofariki dunia kwa kuungua moto Jumamosi alfajiri ilipozikwa.

 

11 years ago

GPL

NI VILIO, SIMANZI NYUMBANI KWA MAREHEMU RECHO

Miili ya marehemu Recho na mwanae ikiwasili nyumbani kwa marehemu eneo la Palestina jijini Dar.…

 

10 years ago

Vijimambo

MAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.…Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.Vijana walio katika Kituo cha soka cha Marsh Academy kilichokuwa kikiongozwa na marehemu wakishusha jeneza la mwalimu wao kwenye Uwanja wa...

 

10 years ago

GPL

MAJONZI, VILIO NA SIMANZI VYATAWALA MAZISHI YA SYLVESTRE MARSH JIJINI MWANZA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Sylvestre Marsh likiingizwa kaburini kwenye makaburi ya Igoma, mkoani Mwanza. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiaga mwili wa marehemu Marsh.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mauaji Garissa:Simanzi yatanda Nairobi

Biwi la simanzi lilitanda pale jamaa na marafiki wa wanafunzi waliouawa walipofika katika chumba cha kuhifadhia maiti,Nairobi

 

10 years ago

GPL

MREMBO AFANYIWA KITU MBAYA

Mrembo huyo akiwa kwenye gari. Shani Ramadhani
MREMBO mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuvuliwa nguo kisha kupigwa na madereva bodaboda. Tukio hilo lililovuta umati wa watu lilitokea juzikati maeneo ya Sinza Makaburini, jijini Dar wakati mrembo huyo akiwa na mpenzi wake ikidaiwa kuwa walitokea katika nyumba ya kulala wageni. Imeelezwa kuwa, mpenzi wa mrembo huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani