Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomoabomoa Arusha yaacha watu 216 bila makazi

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, imebomoa nyumba zake kwenye maeneo ya Kilombero, Themi na Kaloleni ambazo zilikuwa zinakaliwa na wapangaji 216. Hatua hiyo imepokewa kwa hisia tofauti miongoni mwa madiwani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mvua yaacha watu 400 bila makazi

MVUA kubwa iliyoambatana na mawe na upepo mkali, imewaacha zaidi ya watu 400 katika kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu mkoani Simiyu bila kuwa na mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yaacha vilio, simanzi Dar

Manispaa ya Kinondoni jana ilisababisha vilio kwa wakazi wa maeneo wa wilaya hiyo ilipoanza ubomoaji wa nyumba zilizojengwa maeneo ya wazi na hifadhi kinyume cha sheria. Juzi, Kamishna wa Ardhi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Moses Kusirika alitangaza operesheni ya kubomoa nyumba hizo kuanzia jana na kuwa baada ya Kinondoni watahamia wilaya nyingine na mikoani pia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yaacha watoto bila wazazi

Ebola ni janga kubwa nchini Guinea, Liberia na Sierra Leone, ambako zaidi ya watoto 4,000 wameachwa bila wazazi

 

9 years ago

Vijimambo

NOAH YAACHA NJIA NA KUUWA WATU 9 WILAYANI MISUNGWI



Watu tisa waliokuwa wakisafiri na gari dogo aina ya noah namba T812 BJU, wamefariki dunia papo hapo baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka jana jioni.


Ajali hiyo imetokea saa 11 jioni katika kijiji cha Mwamanga wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza kwenye barabara kuu ya kutoka Shinyanga kuelekea Mwanza, wakati gari hilo kumshinda dereva wake ambaye ni koplo mstaafu wa jeshi, Moris Lukenza, mkazi wa Geita.


Akizungumza na waandishi wa habari leo, kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Charles Mkumbo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Utulivu watawala bomoabomoa Arusha

Hatimaye Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza kubomoa nyumba zaidi ya 300 baada ya malumbano ya kisheria mahakamani, yaliyochukua muda mrefu.

 

10 years ago

Michuzi

ZAIDI YA FAMILIA 200 ZAACHWA BILA MAKAZI ZANZIBAR KUFUATIA MVUA KALI ZA MASIKA

Baadhi ya wananchi wakitafuta maeneo ya hifadhi































Na Abou Shatry wa Swahili Villa
Familia zisizopungua 200 zimeachwa bila makaazi baada ya makaazi yao kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoikumba manispaa ya mji wa Unguja na vitongoji vyake.Akizungumza na Swahilivilla kwa njia ya simu, mkaazi wa Mwanakwerekwe Sokoni, mjini Unguja ndugu Mussa Makame alisema kuwa mvua hizo zilizoendelea kwa muda wa siku mbili mfululizo, zimepelekea maafa makubwa katika miundombinu mjini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafuriko yakosesha makazi watu 7,000

TAKRIBAN wakazi 7,000 wa kata tatu zilizopo Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa, Morogoro hawana mahala pa kuishi baada ya nyumba zao  zinazokadiriwa kufikia 2,500 kusombwa na kumezwa na mafuriko. Mafuriko...

 

11 years ago

Mwananchi

Uwanja wa Majimaji wageuzwa makazi ya watu

Kwa muda mrefu sasa viwanja vya michezo vya mikoa mbalimbali vinamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Mwananchi

Sera makini za makazi zitawanusuru watu Dar

Jiji la Dar es Salaam na maeneo yake limeathiriwa kwa kiasi kikubwa na mvua ambazo zimekuwa zikinyesha kwa mfululizo tangu wiki iliyopita. Zaidi ya watu 10 wamepoteza maisha, miundombinu imeharibika na mali zimepotea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani