Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua yaacha watu 400 bila makazi

MVUA kubwa iliyoambatana na mawe na upepo mkali, imewaacha zaidi ya watu 400 katika kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu mkoani Simiyu bila kuwa na mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bomoabomoa Arusha yaacha watu 216 bila makazi

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, imebomoa nyumba zake kwenye maeneo ya Kilombero, Themi na Kaloleni ambazo zilikuwa zinakaliwa na wapangaji 216. Hatua hiyo imepokewa kwa hisia tofauti miongoni mwa madiwani...

 

10 years ago

Michuzi

ZAIDI YA FAMILIA 200 ZAACHWA BILA MAKAZI ZANZIBAR KUFUATIA MVUA KALI ZA MASIKA

Baadhi ya wananchi wakitafuta maeneo ya hifadhi































Na Abou Shatry wa Swahili Villa
Familia zisizopungua 200 zimeachwa bila makaazi baada ya makaazi yao kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoikumba manispaa ya mji wa Unguja na vitongoji vyake.Akizungumza na Swahilivilla kwa njia ya simu, mkaazi wa Mwanakwerekwe Sokoni, mjini Unguja ndugu Mussa Makame alisema kuwa mvua hizo zilizoendelea kwa muda wa siku mbili mfululizo, zimepelekea maafa makubwa katika miundombinu mjini...

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaua watu watatu, kaya zaidi ya 70 zakosa makazi

Watu watatu wamefariki dunia na familia zaidi ya 70 zimekosa mahala pa kuishi, huku mifugo zaidi ya 150 ikisadikiwa kufa baada ya kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Arumeru mkoani Arusha.     

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yaacha watoto bila wazazi

Ebola ni janga kubwa nchini Guinea, Liberia na Sierra Leone, ambako zaidi ya watoto 4,000 wameachwa bila wazazi

 

10 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAENDELEA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUONDOA MAJI KATIKA MAKAZI YA WATU TEGETA,BUNJU NA KUNDUCHI NA KUJENGA MFEREJI WA KUDUMU KUPITISHA MAJI YA MVUA KUELEKEA BAHARI YA HINDI

AT1Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam,Saidi Meck Sadiki(katikati) akiangalia athari ya maji yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni jijini Dar es slaam akiwa ameambatana na wakazi wa eneo hilo la Kunduchi Ununio.Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na DAWASA inaendelea na zoezi la kuyaondoa maji hayo pamoja na ujenzi wa mfereji mkubwa kuelekea baharini utakaokusanya maji kutoka Bunju na Kunduchi na kuyapeleka bahari ya Hindi.AT2Kazi ya ujenzi wa mfereji huo mkubwa wenye urefu wa kilometa...

 

11 years ago

Mwananchi

Familia 400 zakosa makazi

 Kaimu Mkurugenzi wa Maafa wa Shirika la Msalaba Mwekundu, Renatus Mkaruka amesema familia zaidi ya 400 za Dar es Salaam hazina makazi na zinaishi kwenye vituo visivyo rasmi.

 

9 years ago

Vijimambo

NOAH YAACHA NJIA NA KUUWA WATU 9 WILAYANI MISUNGWI



Watu tisa waliokuwa wakisafiri na gari dogo aina ya noah namba T812 BJU, wamefariki dunia papo hapo baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka jana jioni.


Ajali hiyo imetokea saa 11 jioni katika kijiji cha Mwamanga wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza kwenye barabara kuu ya kutoka Shinyanga kuelekea Mwanza, wakati gari hilo kumshinda dereva wake ambaye ni koplo mstaafu wa jeshi, Moris Lukenza, mkazi wa Geita.


Akizungumza na waandishi wa habari leo, kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Charles Mkumbo,...

 

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaharibu makazi ya familia 14

Familia 14 zenye watu 74 za kijiji cha Ngumbu, wilaya ya Liwale, mkoani Lindi hazina makazi kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali ambayo pia imeezua madarasa  matatu na stoo ya shule ya kijiji hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani