Familia 400 zakosa makazi
 Kaimu Mkurugenzi wa Maafa wa Shirika la Msalaba Mwekundu, Renatus Mkaruka amesema familia zaidi ya 400 za Dar es Salaam hazina makazi na zinaishi kwenye vituo visivyo rasmi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Tani 7,400 za mahindi zakosa soko
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Kaya 12 zakosa makazi Mtwara
KAYA 12 za wakazi wa Magomeni A katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani mkoani hapa, wamekosa mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mvua iliyonyesha hivi karibuni. Akizungumza na waandishi...
11 years ago
Habarileo28 Apr
Kaya 235 zakosa makazi Kyela
MBUNGE wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe amesema kaya 235 zenye wakazi 1,087 katika wilaya hiyo, zipo katika hali mbaya. Amesema kaya hizo zimeathiriwa vibaya na mafuriko, yaliyoikumba wilaya hiyo na kwamba sasa zimehamishiwa kwenye makanisa na shule ili kupewa msaada wa karibu.
10 years ago
StarTV12 May
Athari ya mvua, Kaya 30 zakosa makazi Bukoba.
Na Mariam Emily,
Bukoba.
Athari za mvua zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini zimezidi kuonekana, baada ya kaya thelathini katika eneo la Nyamkazi Manispaa ya Bukoba, kukosa makazi baada ya mvua kubwa inayonyesha mfululizo mjini humo kuharibu makazi yao pamoja na kupoteza mali kadhaa ikiwemo mazao ya chakula, mifugo pamoja na kuharibu miundombinu ya barabara.
Baadhi ya wananchi wamesema kiini cha mafuriko hayo ni mkondo wa maji kuzibwa na uchafu pamoja na mmea wa gugu maji...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mvua yaua watu watatu, kaya zaidi ya 70 zakosa makazi
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mvua yaacha watu 400 bila makazi
MVUA kubwa iliyoambatana na mawe na upepo mkali, imewaacha zaidi ya watu 400 katika kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu mkoani Simiyu bila kuwa na mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa.
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Familia yahamishia makazi chooni
FAMILIA ya watu watatu akiwemo mtoto wa umri wa miaka saba imelazimika kuhamishia makazi chooni baada ya paa la nyumba waliyokuwa wakiishi kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua iliyonyesha...
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Mvua yaharibu makazi ya familia 14
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yLHe9ElTHkI/VUhj880JnLI/AAAAAAAAQ4Y/uH8vJMa-BDo/s72-c/11117428_10155488806970247_2001604654_n.jpg)
ZAIDI YA FAMILIA 200 ZAACHWA BILA MAKAZI ZANZIBAR KUFUATIA MVUA KALI ZA MASIKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-yLHe9ElTHkI/VUhj880JnLI/AAAAAAAAQ4Y/uH8vJMa-BDo/s400/11117428_10155488806970247_2001604654_n.jpg)
Na Abou Shatry wa Swahili Villa
Familia zisizopungua 200 zimeachwa bila makaazi baada ya makaazi yao kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyoikumba manispaa ya mji wa Unguja na vitongoji vyake.Akizungumza na Swahilivilla kwa njia ya simu, mkaazi wa Mwanakwerekwe Sokoni, mjini Unguja ndugu Mussa Makame alisema kuwa mvua hizo zilizoendelea kwa muda wa siku mbili mfululizo, zimepelekea maafa makubwa katika miundombinu mjini...