Kaya 235 zakosa makazi Kyela
MBUNGE wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe amesema kaya 235 zenye wakazi 1,087 katika wilaya hiyo, zipo katika hali mbaya. Amesema kaya hizo zimeathiriwa vibaya na mafuriko, yaliyoikumba wilaya hiyo na kwamba sasa zimehamishiwa kwenye makanisa na shule ili kupewa msaada wa karibu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Kaya 12 zakosa makazi Mtwara
KAYA 12 za wakazi wa Magomeni A katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani mkoani hapa, wamekosa mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mvua iliyonyesha hivi karibuni. Akizungumza na waandishi...
10 years ago
StarTV12 May
Athari ya mvua, Kaya 30 zakosa makazi Bukoba.
Na Mariam Emily,
Bukoba.
Athari za mvua zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini zimezidi kuonekana, baada ya kaya thelathini katika eneo la Nyamkazi Manispaa ya Bukoba, kukosa makazi baada ya mvua kubwa inayonyesha mfululizo mjini humo kuharibu makazi yao pamoja na kupoteza mali kadhaa ikiwemo mazao ya chakula, mifugo pamoja na kuharibu miundombinu ya barabara.
Baadhi ya wananchi wamesema kiini cha mafuriko hayo ni mkondo wa maji kuzibwa na uchafu pamoja na mmea wa gugu maji...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mvua yaua watu watatu, kaya zaidi ya 70 zakosa makazi
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Kaya 19 zilizopo katika mpango wa kunusuru kaya maskini zakosa malipo yao Manyoni
Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini wa Kijiji cha Sukamahela, tarafa ya Kilimatinde waliokosa malipo yao licha ya kuwa na taarifa na fomu za kupokelea malipo hayo, na kujikuta wakikaa kwa muda wa zaidi ya saa tano wakisubiri kuitwa wakapokee malipo hayo.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Stephen Chilewa Mgusi (wa kwanza kutoa kulia), Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Ernesti Gyunda Kitundu (wa pili kutoka kulia) na Mwezeshaji wa TASAF wilaya ya...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Familia 400 zakosa makazi
9 years ago
MichuziNHIF YAJA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA KAYA KWA KAYA
9 years ago
Habarileo21 Dec
Tanesco yakamata 235 kwa hasara ya mil 200/
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Arusha limekamata watu 235 wanaodaiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo na kulisababishia hasara ya zaidi ya Sh milioni 200.
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Tani 7,400 za mahindi zakosa soko
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Wizara tano zakosa mawaziri Tanzania