Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara tano zakosa mawaziri Tanzania

Pengo la mawaziri katika serikali ya Tanzania limefikia watano baada ya waziri wa Fedha, Dokta William Mgimwa kufariki dunia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mawaziri wa nchi tano Afrika Mashariki wakutana ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani

Na Mwandishi Wetu

Mkutano uliowakutanisha Mawaziri wa nchi tano za Afrika Mashariki wakiwemo Mabalozi wa nchini zao nchini Marekani ulifanyika leo siku ya Jumatano Februari 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, mkutano huo  uliohusiana na maandalizi ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya nchi ya Marekani na nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania.

Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wake Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI

Mkutano uliowakutanisha Mawaziri wa nchi tano za Afrika Mashariki wakiwemo Mabalozi wa nchini zao nchini Marekani ulifanyika leo siku ya Jumatano Februari 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, mkutano huo  uliohusiana na maandalizi ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya nchi ya Marekani na nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania.
Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wake Mhe. Harrison Mwakyembe...

 

10 years ago

GPL

MAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI‏

Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Harrison Mwakyembe ambaye alikua mwenyekiti wa mkutano wa kujiandaa kutiliana saini makubaliano ya biashara na uwekezaji wa nchi za Afrika Mashariki na Marekani. Utiliano saini huo utafanyika siku ya Alhamisi Februari 26, 2015 katika Ofisi za Wizara ya Biashara Marekani, kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Richard Sezibera kutoka Burundi.… ...

 

9 years ago

CCM Blog

MAWAZIRI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO WAAPISHWA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ,Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Wiliam Lukuvi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Sheria na Katiba.
  Rais wa...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA PIKIPIKI TANO

 Mwakilishi  wa washirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children)  Mali Lisson akitoa maelezo kabla  ya kukabidhi pikipiki za wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono  katika hafla iliyofanyika  wizara ya  afya  mnazimmoja mjini zaznibar. Mwakilishi  wa Shirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children)  Mali lisson akimkabidhi funguo za pikipiki tano, Naibu waziri  wa  Afya  Mahmoud Thabit Kombo  kwa ajili ya wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono  wa wilaya katika hafla ...

 

9 years ago

StarTV

Serikali awamu ya tano Yashauriwa kutenganisha Wizara ya Michezo.

Serikali ya awamu ya tano, imeshauriwa kuitenganisha Wizara ya Michezo na wizara nyingine, ili kusukuma maendeleo ya michezo nchini. Katika awamu iliyopita, michezo ilikuwa Wizara moja na Habari, Vijana na Utamaduni, na hivyo baadhi ya wadau kudai kwamba waziri husika alikuwa na mzigo wa kushughulikia sekta nne kwa wakati mmoja. Ushauri kwa serikali mpya umetolewa na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Soka Wilaya ya Kinondoni (KIFA) mkoani Dar es Salaam, Majaliwa Mbassa,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Save the Children yaikabidhi pikipiki tano Wizara ya Afya Zanzibar

2 (1)Mwakilishi  wa Shirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children)  Mali lisson akimkabidhi funguo za pikipiki tano, Naibu waziri  wa  Afya  Mahmoud Thabit Kombo
kwa ajili ya wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono  wa wilaya katika hafla  iliyofanyika  wizara ya Afya  mnazimmoja  mjini Zanzibar. (picha zote na Miza Othman –maelezo zanzibar).

3 (1) Naibu waziri wa Afya Mahmoud Thabit  Kombo akitia saini  baada ya kupokea
pikipiki tano kwa ajili ya kuwarahisishia kazi  wakuu wa vitengo vya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wizara kukatwa malipo pango la mawaziri

 Wizara ya Fedha imeingilia kati deni la pango la nyumba za Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wanalodaiwa baadhi ya mawaziri kwa kuamua kukata fedha za kulipa kutoka kwenye mafungu yaliyopangwa kutolewa katika mwaka huu wa fedha 2014/2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani