WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA PIKIPIKI TANO
Mwakilishi wa washirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children) Mali Lisson akitoa maelezo kabla ya kukabidhi pikipiki za wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono katika hafla iliyofanyika wizara ya afya mnazimmoja mjini zaznibar.
Mwakilishi wa Shirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children) Mali lisson akimkabidhi funguo za pikipiki tano, Naibu waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo kwa ajili ya wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono wa wilaya katika hafla ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog20 Sep
Save the Children yaikabidhi pikipiki tano Wizara ya Afya Zanzibar
Mwakilishi wa Shirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children) Mali lisson akimkabidhi funguo za pikipiki tano, Naibu waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo
kwa ajili ya wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono wa wilaya katika hafla iliyofanyika wizara ya Afya mnazimmoja mjini Zanzibar. (picha zote na Miza Othman –maelezo zanzibar).
Naibu waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitia saini baada ya kupokea
pikipiki tano kwa ajili ya kuwarahisishia kazi wakuu wa vitengo vya...
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UENGEREA
Shirika la Shistosomiasis Control Initiative (SCI) la Uengereza limetoa Msaada wa Magari mawili aina ya Toyota Double Cabin kwa Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo chake cha Maradhi yasiyopewa umuhimu (NTD).
Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi.
10 years ago
VijimamboWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UINGEREZA
Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi.
Maradhi hayo ni pamoja na...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-BWlP2Xgu2_s/XkOwJC7IadI/AAAAAAACycM/dNQaXDIiMJkZ6XKx6MjP__XbsIfDDt06ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA HOSPITALI YA RUFAA YA MAWENI
![](https://1.bp.blogspot.com/-BWlP2Xgu2_s/XkOwJC7IadI/AAAAAAACycM/dNQaXDIiMJkZ6XKx6MjP__XbsIfDDt06ACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Akikabidhiwa hospitali hiyo Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula amesema kuwa anashukuru sekretarieti ya mkoa kwa kuisimamia hospitali hiyo pamoja na watumishi katika kipindi hicho na hivyo kuwezesha wananchi kupata huduma zinazostahili.
“Pamoja na makadhibiano tutaendelea kushirikiana kwa ukaribu na ofisi yako RAS na bado...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-d1menn6Ym30/XkOzp5r0llI/AAAAAAALc-U/21kwq32Q4q4NPrpWMx9Z8g3kBarVJexHwCLcBGAsYHQ/s72-c/38b2d265-2f9a-49c2-8925-cf4bb24749d9-768x512.jpg)
WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA RASMI HOSPITALI YA RUFAA MAWENI
![](https://1.bp.blogspot.com/-d1menn6Ym30/XkOzp5r0llI/AAAAAAALc-U/21kwq32Q4q4NPrpWMx9Z8g3kBarVJexHwCLcBGAsYHQ/s640/38b2d265-2f9a-49c2-8925-cf4bb24749d9-768x512.jpg)
Katibu Mkuu Dkt.Zainab Chaula wakikabidhiana ripoti ya hospitali ya rufaa ya mkoa maweni na Katibu Tawala wa mkoa wa kigoma Rashid Machatta.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/0d9c367d-711c-4a40-8ebb-0af6347546d7-1024x683.jpg)
Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akimkabidhia Mhasibu Mkuu wa Wizara ya afya Hellen Mwakipunda ripoti hiyo.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/287c476d-fde9-45c6-9f19-d4f599096d56-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/8ae30979-705e-4549-b154-2a38a6bbde8a-1024x683.jpg)
5 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-RvmUSu87iXY/U0wrwV0iHNI/AAAAAAAFasQ/A9DVomm0OnI/s72-c/unnamed+(3).jpg)
Dk.Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar
![](http://2.bp.blogspot.com/-RvmUSu87iXY/U0wrwV0iHNI/AAAAAAAFasQ/A9DVomm0OnI/s1600/unnamed+(3).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-p2v8e5Jw9P4/U0wryhMyvGI/AAAAAAAFasY/ewhhmOai-MY/s1600/unnamed+(4).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3462QO1WdRU/VCbh88FrF-I/AAAAAAAGmN4/j7aeNpvhg7M/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA AMBULANCE TOKA (UNFPA)
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu (UNFPA) limekabidhi msaada wa magari manne ya Ambulance kwa Wizara ya Afya ya Zanzibar ambayo yatatumika katika Hospitali nne visiwani hapa.
Mwakilishi wa UNFPA Tanzania Dkt. Natalia Kanem alimkabidhi Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman magari hayo katika sherehe fupi zilizofanyika Wizarani Mnazi mmoja.
Dkt. Natalia alitaka magari hayo yatumike kwa uangalifu ili kufikia malengo ya...