Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UENGEREA

Na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar
Shirika la Shistosomiasis Control Initiative (SCI) la Uengereza limetoa Msaada wa Magari mawili aina ya Toyota Double Cabin kwa Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo chake cha Maradhi yasiyopewa umuhimu (NTD).
 Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi. Maradhi hayo ni pamoja na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UINGEREZA

Na Makame Mshenga- Maelezo ZanzibarShirika la Shistosomiasis Control Initiative (SCI) la Uingereza limetoa Msaada wa Magari mawili aina ya Toyota Double Cabin kwa Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo chake cha Maradhi yasiyopewa umuhimu (NTD).
 Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi. 
Maradhi hayo ni pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA AMBULANCE TOKA (UNFPA)

Na RAMADHANI ALI /HABARI MAELEZO ZANZIBAR
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu (UNFPA) limekabidhi msaada wa magari manne ya Ambulance kwa Wizara ya Afya ya Zanzibar ambayo yatatumika katika Hospitali nne visiwani hapa.
Mwakilishi wa UNFPA Tanzania Dkt. Natalia Kanem alimkabidhi Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman magari hayo katika sherehe fupi zilizofanyika Wizarani Mnazi mmoja.
Dkt. Natalia alitaka magari hayo yatumike kwa uangalifu ili kufikia malengo ya...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA PIKIPIKI TANO

 Mwakilishi  wa washirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children)  Mali Lisson akitoa maelezo kabla  ya kukabidhi pikipiki za wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono  katika hafla iliyofanyika  wizara ya  afya  mnazimmoja mjini zaznibar. Mwakilishi  wa Shirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children)  Mali lisson akimkabidhi funguo za pikipiki tano, Naibu waziri  wa  Afya  Mahmoud Thabit Kombo  kwa ajili ya wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono  wa wilaya katika hafla ...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)



Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 28/04/2020.WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mbali mbali vya kuthibiti maambukizi ya Corona kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110.
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAPOKEA MSAADA KUTOKA TAASISI YA MILELE ZANZIBAR FOUNDATION

Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 13/04/2020.
NAIBU Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amewataka wananchi na Taasisi za kiraia kushirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya maradhi ya Corona.
Amesema mashirikiano ya pamoja kati ya wananchi na viongozi na kufuata maekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya yatasaidia kushinda vita dhidi ya maradhi hayo.  
Naibu Waziri wa Afya alitoa kauli hiyo baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kujikinga na maradhi ya Corona kutoka Taasisi ya Milele...

 

5 years ago

CCM Blog

WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA HOSPITALI YA RUFAA YA MAWENI

  Na. Catherine Sungura– KigomaWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekabidhiwa rasmi hospitali ya rufaa ya mkoa maweni iliyopo mkoani hapa.
Akikabidhiwa hospitali hiyo Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula amesema kuwa anashukuru sekretarieti ya mkoa kwa kuisimamia hospitali hiyo pamoja na watumishi katika kipindi hicho na hivyo kuwezesha wananchi kupata huduma zinazostahili.
“Pamoja na makadhibiano tutaendelea kushirikiana kwa ukaribu na ofisi yako RAS na bado...

 

5 years ago

CCM Blog

WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA RASMI HOSPITALI YA RUFAA MAWENI


Katibu Mkuu Dkt.Zainab Chaula wakikabidhiana ripoti ya hospitali ya rufaa ya mkoa maweni na Katibu Tawala wa mkoa wa kigoma Rashid Machatta. 
Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akimkabidhia Mhasibu Mkuu wa Wizara ya afya Hellen Mwakipunda ripoti hiyo.Katibu Mkuu wizara ya afya Dkt. Zainab Chaula akisaini ripoti ya taarifa ya hospitali ya rufaa ya mkoa ya maweni,makabidhiano hayo yalifanyika kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa kagera Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Rashid Mchatta akisaini ripoti ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya Afya yapokea magari na vifaa vya afya kutoka WHO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo baada ya kupokea msaada wa magari manne na vifaa vya afya  kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akipokea moja ya funguo kati ya magari manne kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Magari manne na vifaa vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani