WIZARA YA AFYA YAPOKEA MSAADA KUTOKA TAASISI YA MILELE ZANZIBAR FOUNDATION
Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 13/04/2020.
NAIBU Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amewataka wananchi na Taasisi za kiraia kushirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya maradhi ya Corona.
Amesema mashirikiano ya pamoja kati ya wananchi na viongozi na kufuata maekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya yatasaidia kushinda vita dhidi ya maradhi hayo.
Naibu Waziri wa Afya alitoa kauli hiyo baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kujikinga na maradhi ya Corona kutoka Taasisi ya Milele...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3462QO1WdRU/VCbh88FrF-I/AAAAAAAGmN4/j7aeNpvhg7M/s72-c/unnamed%2B(15).jpg)
WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA AMBULANCE TOKA (UNFPA)
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu (UNFPA) limekabidhi msaada wa magari manne ya Ambulance kwa Wizara ya Afya ya Zanzibar ambayo yatatumika katika Hospitali nne visiwani hapa.
Mwakilishi wa UNFPA Tanzania Dkt. Natalia Kanem alimkabidhi Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman magari hayo katika sherehe fupi zilizofanyika Wizarani Mnazi mmoja.
Dkt. Natalia alitaka magari hayo yatumike kwa uangalifu ili kufikia malengo ya...
5 years ago
CCM BlogZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VzJr97GZtJY/VHiGDuI2y1I/AAAAAAAGz8M/6-c5GBWn8Es/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
Wizara ya Afya yapokea magari na vifaa vya afya kutoka WHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-VzJr97GZtJY/VHiGDuI2y1I/AAAAAAAGz8M/6-c5GBWn8Es/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2bnS26_Ncdw/VHiGD3VabbI/AAAAAAAGz8Q/1d4gBai2jYU/s1600/unnamed%2B(21).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BF_38glYPMU/VHiGCzTb7fI/AAAAAAAGz8E/Y2DFOn3xxWc/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
10 years ago
VijimamboWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UINGEREZA
Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi.
Maradhi hayo ni pamoja na...
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UENGEREA
Shirika la Shistosomiasis Control Initiative (SCI) la Uengereza limetoa Msaada wa Magari mawili aina ya Toyota Double Cabin kwa Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo chake cha Maradhi yasiyopewa umuhimu (NTD).
Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi.
11 years ago
MichuziZANZIBAR YAPATA MSAADA KUTOKA WIZARA YA BIASHARA YA SERIKALI YA MUUNGANO WA TANZANIA