Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara kukatwa malipo pango la mawaziri

 Wizara ya Fedha imeingilia kati deni la pango la nyumba za Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wanalodaiwa baadhi ya mawaziri kwa kuamua kukata fedha za kulipa kutoka kwenye mafungu yaliyopangwa kutolewa katika mwaka huu wa fedha 2014/2015.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MABULA ATAKA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI KWA MITANDAO YA SIMU KUEPUKA CORONA

Na Munir  Shemweta, WANMM SIMIYU

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kilipia kodi ya pango la ardhi kufanya hivyo kupitia mitandao ya simu za viganjani ili kuepuka misongamano inayoweza kuchangia maambukizi ya virusi vya Corona.

Dkt Mabula alitoa tahadhari hiyo juzi wilayani Bariadi mkoani Simiyu alipozungumza na Wakurugenzi na Watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za mkoa wa Simiyu akiwa katika ziara ya...

 

10 years ago

Michuzi

SELCOM YAWEZESHA MALIPO YA PANGO YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) KWA NJIA YA MTANDAO




Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akimuonyesha mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika katika ulipaji wa kodi za majengo ya NHC. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akielezea kwa waandishi wa habari jinsi huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya Simu na akaunti za Benki inavyofanya kazi.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akimuonyesha...

 

5 years ago

CCM Blog

MKANDARASI ATAKAYESHINDWA KUKAMILISHA REA KUKATWA 10% YA MALIPO YAKE-WAZIRI KALEMANI

Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani( kushoto)akitoa maelekezo kwa msimamizi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Kilole,wilayani Korogwe mkoani Tanga, Mhandisi Peter Magari, wakati waziri wa Nishati alipofanya ziara ya kushtukiza kutembelea kituo hicho kilichojengwa 1929 ambacho kinafanyiwa ukarabati kubosha utendaji kazi wake.Muonekano wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Kilole wilayani Korogwe mkoani Tanga kilichojengwa mwaka 1929, chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2.5 za...

 

5 years ago

Michuzi

JUNI 30,2020,MKANDARASI ATAKAYESHINDWA KUKAMILISHA REA KUKATWA 10% YA MALIPO YAKE-WAZIRI KALEMANI


Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani( kushoto)akitoa maelekezo kwa msimamizi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Kilole,wilayani Korogwe mkoani Tanga, Mhandisi Peter Magari, wakati waziri wa Nishati alipofanya ziara ya kushtukiza kutembelea kituo hicho kilichojengwa 1929 ambacho kinafanyiwa ukarabati kubosha utendaji kazi wake.Muonekano wa kituo cha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Komba: Mawaziri wizara ya mifugo wajiuzulu

MBUNGE wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba (CCM), amewataka Waziri na Naibu Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, kujiuzulu kwa kushindwa kusimamia wizara hiyo. Komba alitoa kauli hiyo bungeni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wizara tano zakosa mawaziri Tanzania

Pengo la mawaziri katika serikali ya Tanzania limefikia watano baada ya waziri wa Fedha, Dokta William Mgimwa kufariki dunia

 

10 years ago

Mwananchi

Kodi ya pango yawaliza wenye vibanda Karagwe

Wafanyabiashara wa Soko la Omurushaka, Wilaya ya Karagwe, Kagera wamelalamikia uamuzi wa Baraza la Madiwani uliowataka kulipa kodi ya pango ya Sh50,000 badala ya ile ya awali ya Sh15,000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani