Tanesco yakamata 235 kwa hasara ya mil 200/
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Arusha limekamata watu 235 wanaodaiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo na kulisababishia hasara ya zaidi ya Sh milioni 200.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Tanesco yapata hasara mil. 10.6/-
OFISI ya Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kinondoni Kusini, imepata hasara ya sh milioni 10.6 baada ya transfoma yake iliyopo maeneo ya Ubungo Maziwa kugongwa na gari na kuharibiwa...
9 years ago
StarTV15 Dec
Tanesco watangaza kupata hasara ya Shilingi milioni 200 kutokana na Wizi Wa Umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa wateja wake zaidi ya 50 waliojiunganishia Umeme kinyume cha sheria kwenye maeneo ya Msasani, Kigamboni na Oysterbay Jijini Dar Es Salaam hali ambayo imesababisha kushuka kwa ufanisi wa utendaji kazi wa shirika hilo.
Katika operesheni ya kukagua nyumba zilizojiunganishia umeme kinyume cha sheria shirika hilo limekagua jumla ya nyumba 2,200 katika kipindi cha wiki moja na kubaini madudu hayo.
Katika...
10 years ago
Habarileo20 Oct
Wafugaji matatani kwa meno ya tembo ya mil. 200/-
WATU wanne, wafugaji wa jamii ya kimasai wakazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, wamekamatwa na Kikosi Maalumu cha Kupambana na Ujangili (KDU) Kanda ya Kaskazini wakiwa na meno manane ya tembo yenye thamani ya karibu Sh milioni 200.
10 years ago
Habarileo04 Jul
Tanesco yakamata mfanyakazi ‘feki’ anayeunganisha umeme
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limemkamata mkazi wa Mikocheni, Hamad Mlolwa kwa tuhuma za kujifanya mfanyakazi wa shirika hilo na kuziunganishia umeme kinyemela nyumba mbili zilizopo eneo la Kimara Matosa katika Manispaa ya Kinondoni.
10 years ago
Habarileo15 Sep
FCC yakamata simu bandia za mil. 72/-
TUME ya Ushindani (FCC) imekamata simu bandia zenye thamani ya Sh milioni 72.2 katika maduka ya Kariakoo.
9 years ago
Bongo528 Sep
Album ya Drake na Future yakamata namba 1 kwenye Billboard 200 Chart
9 years ago
Habarileo10 Dec
Tanesco Kilimanjaro watangaza hasara
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kilimanjaro, limepata hasara ya zaidi ya Sh milioni 258 kwa kipindi cha Septemba hadi Novemba mwaka huu, kutokana na wizi wa nyaya za shaba na transfoma.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
BCU wapata hasara ya Mil. 55/-
CHAMA cha Ushirika cha Biharamulo (BCU) kimepata hasara ya sh milioni 55.7 kutokana na uchakavu wa mitambo yake. Kwa mujibu wa ukaguzi uliofanywa na Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa...
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Tanesco Mwanga yapata hasara ya Sh150 milioni