Tanesco yapata hasara mil. 10.6/-
OFISI ya Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kinondoni Kusini, imepata hasara ya sh milioni 10.6 baada ya transfoma yake iliyopo maeneo ya Ubungo Maziwa kugongwa na gari na kuharibiwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Tanesco Mwanga yapata hasara ya Sh150 milioni
9 years ago
Habarileo21 Dec
Tanesco yakamata 235 kwa hasara ya mil 200/
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Arusha limekamata watu 235 wanaodaiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo na kulisababishia hasara ya zaidi ya Sh milioni 200.
11 years ago
Mwananchi06 May
Kampuni yapata hasara Sh270milioni
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Chelsea yapata hasara England
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Precision Air yapata hasara Sh 12.1 bil
9 years ago
Habarileo10 Dec
Tanesco Kilimanjaro watangaza hasara
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kilimanjaro, limepata hasara ya zaidi ya Sh milioni 258 kwa kipindi cha Septemba hadi Novemba mwaka huu, kutokana na wizi wa nyaya za shaba na transfoma.
10 years ago
Mtanzania23 Mar
Serikali yapata hasara bil 4/- ununuzi bandia
Na Debora Sanja, Dodoma
SERIKALI imesema imepata hasara ya zaidi ya Sh bilioni nane kutokana na risiti za ununuzi bandia.
Kauli hiyo ilitolewa Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alipozungumza katika majumuisho ya semina kwa wabunge kuhusu Mfumo wa Malipo nchini.
Mkuya alisema kutokana na mfumo wa kutumia malipo hayo mtu huwasilisha risiti za orodha ya malipo mengi ambayo kwa uhalisia hayapo.
“Ukichukua ile risiti ukienda dukani unakuta hakuna risiti kama hiyo ingawa inakuwapo...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
BCU wapata hasara ya Mil. 55/-
CHAMA cha Ushirika cha Biharamulo (BCU) kimepata hasara ya sh milioni 55.7 kutokana na uchakavu wa mitambo yake. Kwa mujibu wa ukaguzi uliofanywa na Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa...
9 years ago
StarTV24 Dec
Tanzania yapata hasara ya zaidi ya bil. 230 kwa mwakaÂ
Wakulima na wadau wa kilimo cha mazao yanayotumika kuzalisha mafuta ya kupikia, wamelalamikia uingizwaji wa mafuta hayo kutoka nje ya nchi unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara hatua inayochangia kupungua kwa soko la mafuta yanayozalishwa nchini.
Takribani asilimia 50 ya mafuta yanayotumika nchini yanatoka nje ya nchi ambapo mafuta yanayozalishwa nchini yanatajwa kutosheleza mahitaji ya soko la ndani ikiwa ni pamoja na ziada inayoweza kuuzwa nje ya nchi.
Wafanyabishara wa mazao ya mafuta...