Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco Mwanga yapata hasara ya Sh150 milioni

Shirika la Umeme (Tanesco) wilayani Mwanga limepata hasara ya zaidi ya Sh151.2 milioni kwa kipindi cha miezi miwili kutokana na uharibifu wa miundombinu ya nishati hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tanesco yapata hasara mil. 10.6/-

OFISI ya Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kinondoni Kusini, imepata hasara ya sh milioni 10.6 baada ya transfoma yake iliyopo maeneo ya Ubungo Maziwa kugongwa na gari na kuharibiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wezi wa umeme waitia hasara Tanesco Sh200 milioni

Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Mkoa wa Arusha, limepata hasara ya zaidi ya Sh200 milioni kuanzia Januari hadi Desemba mwaka huu, kutokana na wizi wa kujiunganishia umeme unaofanywa na baadhi ya watu.

 

9 years ago

StarTV

Tanesco watangaza kupata hasara ya Shilingi milioni 200 kutokana na Wizi Wa Umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa wateja wake zaidi ya 50 waliojiunganishia Umeme kinyume cha sheria kwenye maeneo ya Msasani, Kigamboni na Oysterbay Jijini Dar Es Salaam hali ambayo imesababisha kushuka kwa ufanisi wa utendaji kazi wa shirika hilo.

Katika operesheni ya kukagua nyumba zilizojiunganishia umeme kinyume cha sheria shirika hilo limekagua jumla ya nyumba 2,200 katika kipindi cha wiki moja na kubaini madudu hayo.

Katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasanii walamba zaidi ya Sh150 milioni shoo ya Tigo

Huenda ukurasa mpya ukawa umefunguka kwa wanamuziki wa Tanzania baada ya kampuni ya mawasiliano ya simu za mokononi ya Tigo kumwaga zaidi ya Sh150 milioni kulipa wasanii 30 waliotumbuiza katika Tamasha la tiGOMusic Kiboko Yao Jumamosi iliyopita. 

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni yapata hasara Sh270milioni

Uzalishaji wa Maharage katika Shamba la Kampuni ya Sluis Brothers (EA) Limited, umeshuka kwa asilimia 95 na kusababisha hasara ya Sh270 milioni mwaka 2012/2013

 

11 years ago

Mwananchi

Chelsea yapata hasara England

>Chelsea imepata hasara ya Pauni 49.4 milioni kwa mwaka ulioisha Juni 2013.

 

11 years ago

Mwananchi

Precision Air yapata hasara Sh 12.1 bil

Hali ya kifedha ya kampuni ya usafiri wa anga ya Ndege ya Precision Air bado haijatengemaa baada ya kupata hasara ya Sh12.1 bilioni katika mwaka ulioishia Machi mwaka huu. Hata hivyo, hasara hiyo ni ahueni baada ya mwaka jana kupata hasara kubwa zaidi ya Sh30.1 bilioni.

 

9 years ago

Habarileo

Tanesco Kilimanjaro watangaza hasara

SHIRIKA la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kilimanjaro, limepata hasara ya zaidi ya Sh milioni 258 kwa kipindi cha Septemba hadi Novemba mwaka huu, kutokana na wizi wa nyaya za shaba na transfoma.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yapata hasara bil 4/- ununuzi bandia

saada mkuyaNa Debora Sanja, Dodoma
SERIKALI imesema imepata hasara ya zaidi ya Sh bilioni nane kutokana na risiti za ununuzi bandia.
Kauli hiyo ilitolewa Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alipozungumza katika majumuisho ya semina kwa wabunge kuhusu Mfumo wa Malipo nchini.
Mkuya alisema kutokana na mfumo wa kutumia malipo hayo mtu huwasilisha risiti za orodha ya malipo mengi ambayo kwa uhalisia hayapo.
“Ukichukua ile risiti ukienda dukani unakuta hakuna risiti kama hiyo ingawa inakuwapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani