Tanesco watangaza kupata hasara ya Shilingi milioni 200 kutokana na Wizi Wa Umeme
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limepata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa wateja wake zaidi ya 50 waliojiunganishia Umeme kinyume cha sheria kwenye maeneo ya Msasani, Kigamboni na Oysterbay Jijini Dar Es Salaam hali ambayo imesababisha kushuka kwa ufanisi wa utendaji kazi wa shirika hilo.
Katika operesheni ya kukagua nyumba zilizojiunganishia umeme kinyume cha sheria shirika hilo limekagua jumla ya nyumba 2,200 katika kipindi cha wiki moja na kubaini madudu hayo.
Katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Wezi wa umeme waitia hasara Tanesco Sh200 milioni
9 years ago
Habarileo10 Dec
Tanesco Kilimanjaro watangaza hasara
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kilimanjaro, limepata hasara ya zaidi ya Sh milioni 258 kwa kipindi cha Septemba hadi Novemba mwaka huu, kutokana na wizi wa nyaya za shaba na transfoma.
9 years ago
Habarileo21 Dec
Tanesco yakamata 235 kwa hasara ya mil 200/
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Arusha limekamata watu 235 wanaodaiwa kuwa ni wezi waliokuwa wakihujumu baadhi ya miundombinu ya shirika hilo na kulisababishia hasara ya zaidi ya Sh milioni 200.
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Tanesco Mwanga yapata hasara ya Sh150 milioni
11 years ago
Habarileo12 Feb
Wakazi 200 Dar waitaka TANESCO ishushe bei ya umeme
UMOJA wa wakazi zaidi ya 200 wa Dar es Salaam wametoa siku kumi kwa Shirika la Umeme nchini(TANESCO), pamoja na vyombo vingine vya maamuzi, kubatilisha maamuzi yake juu ya bei mpya ya umeme na irejeshwe bei iliyokuwepo.
10 years ago
MichuziNMB yadhamini Mkutano wa Serikali za Mitaa kwa Shilingi Milioni 200
NMB imetoa shilingi milioni 150 kwaajili ya kufanikisha mkutano huo na shilingi milioni 50 kwaajili ya ununuzi wa trekta litakalotolewa kama zawadi kwa meya (Mayors Award) na halmashauri iliyofanya vizuri katika Nyanja mbalimbali kama utawala bora na utengenezaji wa miradi ya kiuchumi.
Udhamini huo unaifanya NMB...
9 years ago
Bongo508 Dec
Picha/Video: Tanesco wagundua wizi wa umeme kwenye nyuma ya Wema Sepetu, Idris Sultan akutwa ndani
![20151208052550](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151208052550-300x194.jpg)
Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu.
Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia moja kwa moja kwenye nyumba bila kupita kwenye mita.
Wakati mafundi hao wameingia nyumba hiyo walimkuta Idris Sultan ndani aliyejaribu kuwasihi wasiukate umeme.
Kukutwa kwa Idris kwenye nyumba hiyo kumetia mafuta zaidi tetesi za kuwa wawili hao wana uhusiano.
Jiunge na Bongo5.com...
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Licha ya kupata mwekezaji; Usafirishaji mizigo waporomoka kutoka tani 1.4 milioni hadi 200,000
11 years ago
Dewji Blog26 Jun
Manyoni yalipa fidia zaidi ya shilingi 158 milioni kupisha zoezi la huduma ya umeme vijijini
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Manyoni Mseya, akitoa taafira yake ya ulipaji fidia kwa baadhi ya wakazi wa kijiji cha Maweni, Mwanzi na Lusillile ili wapishe mradi wa njia ya umeme 400 KV.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
HALMASHAURI ya wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imetumia zaidi ya shilingi 158 milioni kulipa fidia kwa baadhi ya wakazi wa vijiji vitatu,ili kupisha zoezi la utoaji wa huduma ya umeme vijijini.
Fidia hiyo imetolewa mapema mwaka huu kwa wakazi wa vijiji vya...