Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni yapata hasara Sh270milioni

Uzalishaji wa Maharage katika Shamba la Kampuni ya Sluis Brothers (EA) Limited, umeshuka kwa asilimia 95 na kusababisha hasara ya Sh270 milioni mwaka 2012/2013

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tanesco yapata hasara mil. 10.6/-

OFISI ya Shirika la Umeme (Tanesco) Mkoa wa Kinondoni Kusini, imepata hasara ya sh milioni 10.6 baada ya transfoma yake iliyopo maeneo ya Ubungo Maziwa kugongwa na gari na kuharibiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Chelsea yapata hasara England

>Chelsea imepata hasara ya Pauni 49.4 milioni kwa mwaka ulioisha Juni 2013.

 

11 years ago

Mwananchi

Precision Air yapata hasara Sh 12.1 bil

Hali ya kifedha ya kampuni ya usafiri wa anga ya Ndege ya Precision Air bado haijatengemaa baada ya kupata hasara ya Sh12.1 bilioni katika mwaka ulioishia Machi mwaka huu. Hata hivyo, hasara hiyo ni ahueni baada ya mwaka jana kupata hasara kubwa zaidi ya Sh30.1 bilioni.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yapata hasara bil 4/- ununuzi bandia

saada mkuyaNa Debora Sanja, Dodoma
SERIKALI imesema imepata hasara ya zaidi ya Sh bilioni nane kutokana na risiti za ununuzi bandia.
Kauli hiyo ilitolewa Dodoma jana na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alipozungumza katika majumuisho ya semina kwa wabunge kuhusu Mfumo wa Malipo nchini.
Mkuya alisema kutokana na mfumo wa kutumia malipo hayo mtu huwasilisha risiti za orodha ya malipo mengi ambayo kwa uhalisia hayapo.
“Ukichukua ile risiti ukienda dukani unakuta hakuna risiti kama hiyo ingawa inakuwapo...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco Mwanga yapata hasara ya Sh150 milioni

Shirika la Umeme (Tanesco) wilayani Mwanga limepata hasara ya zaidi ya Sh151.2 milioni kwa kipindi cha miezi miwili kutokana na uharibifu wa miundombinu ya nishati hiyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya matangazo ya Right Here nchini yapata mwekezaji mpya na kuingia ubia na kampuni kubwa ya kimataifa

Mshauri Mkuu wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Gerard Govaerts akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa mikutano katika Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam leo, Kushoto ni Mkuu wa Hati Miliki wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA, Asnath Heriel na kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa RIGHT HERE TANZANIA Jenny Woodier.

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa kampuni ya RIGHT HERE TANZANIA uliofanyika katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es...

 

9 years ago

StarTV

Tanzania yapata hasara ya zaidi ya bil. 230 kwa mwaka 

Wakulima na wadau wa kilimo cha mazao yanayotumika kuzalisha mafuta ya kupikia, wamelalamikia uingizwaji wa mafuta hayo kutoka nje ya nchi unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara hatua inayochangia kupungua kwa soko la mafuta yanayozalishwa nchini.

Takribani asilimia 50 ya mafuta yanayotumika nchini yanatoka nje ya nchi ambapo mafuta yanayozalishwa nchini yanatajwa kutosheleza mahitaji ya soko la ndani ikiwa ni pamoja na ziada inayoweza kuuzwa nje ya nchi.

Wafanyabishara wa mazao ya mafuta...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN HAPA NCHINI YAPATA MKURUNGENZI MPYA

 Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Mubita Akapelwa  akiwashukuru baadhi ya wafanyakazi wa kampuni kwa ushirikiano walio uonesha wakati wa utendaji wake kazi katika hafla ya  kumuaga na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji  Mpya wa Kampuni hiyo Paul Mhato iliyofanyika katika ukumbi wa Sea criff jijini Dar es Salaam.   Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Paul Mhato akifurahia  jambo  katika hafra  ya kumkaribisha Mkurugenzi...

 

5 years ago

Michuzi

VIGOGO SITA WA KAMPUNI YA VIETTEL TANZANIA NA HALOTEL WAMWANDIKIA BARUA DPP KUOMBA KUINGIA MAKUBALIANO YA KUKIRI MASHTAKA YA KUISABABISHIA TCRA HASARA YA SH BILIONI 75

Na Karama Kenyunko

VIGOGO sita wa Kampuni ya Viettel Tanzania akiwemo Mkurugenzi wa Halotel, Son Nguyen (46), wameandika barua kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), wakiomba kuingia makubaliano ya kukiri mashtaka ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 75.

Mbali na Nguyen washitakiwa wengine ni Nguyen Minh (40)  na Vu Tiep ambao wote ni Mameneja wa Halotel, Ha Than (39) Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) Halotel,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani