Wasanii walamba zaidi ya Sh150 milioni shoo ya Tigo
Huenda ukurasa mpya ukawa umefunguka kwa wanamuziki wa Tanzania baada ya kampuni ya mawasiliano ya simu za mokononi ya Tigo kumwaga zaidi ya Sh150 milioni kulipa wasanii 30 waliotumbuiza katika Tamasha la tiGOMusic Kiboko Yao Jumamosi iliyopita.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Tanesco Mwanga yapata hasara ya Sh150 milioni
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Wasanii kuangusha shoo ya pamoja Bills
WASANII mbalimbali wameamua kufanya shoo ya aina yake itakayofanyika leo katika Ukumbi wa kimataifa wa Club Bilicanas uliopo katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia...
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Wasanii Bongo Fleva na shoo za sebuleni Ulaya
10 years ago
GPLWASANII WAUNGANA NA MABESTE KWENYE SHOO YA KUMCHANGIA MKEWE
10 years ago
CloudsFM06 Feb
H Baba awafungukia wasanii wanaokodisha watu kuwazomea wenzao kwenye shoo
Aidha msanii huyo alisema kuwa anasikitishwa sana na hali hiyo kwani anaona kuna hatari kubwa sana inakuja mbele kama hali itaendelea na...
10 years ago
CloudsFM06 Feb
H Baba awafungukia wasanii wanaokodisha watu kuwazomea wenzao kwenye shoo zao
Msanii wa Bongo Fleva,Hamis Baba amewafungukia baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokodisha watu kwa kuwalipa fedha kwa ajili ya kuwazomea wasanii wengine kwenye shoo.
11 years ago
Dewji Blog25 May
Mh. Mohammed G.Dewji (MO) amwaga msaada wa zaidi ya shilingi Milioni 127 kwenye Taasisi za Dini zaidi 80 Jimboni kwake
Mbunge wa Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na viongozi wa Mahakama ya Qadhi wakati alipotembelea Mahakama hiyo kuona namna inavyohudumia waumini wa Dini ya Kiislamu katika kutatua migogoro ya ndoa.
Sheikh wa Mahakama ya Qadhi, Ramadhani Kaoja akimweleza Mheshimiwa Mbunge shughuli za Mahakama hiyo pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili, Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida Mjini , Hamis Nguli, wa pili kulia ni Katibu wa Mahakama ya Qadhi, Alhajj B. Mlau.
Mbunge...
11 years ago
Michuzi25 May
MH. MOHAMMED DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127 KWENYE TAASISI ZA DINI ZAIDI 80 JIMBONI KWAKE
![DSC_0025](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC_00251.jpg)
![DSC_0133](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC_0133.jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC_00251.jpg)
MOHAMMED DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127 KWENYE TAASISI ZA DINI ZAIDI YA 80 JIMBONI KWAKE