Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WAUNGANA NA MABESTE KWENYE SHOO YA KUMCHANGIA MKEWE

Msanii Mabeste akiwapagawisha mashabiki. Msanii wa muziki, Bob Junior akifanya yake jukwaani. Mdada akipagawa na wimbo wa msanii Shebby Love (kushoto).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Mabeste na mkewe kwenye ‘Usiwe Bubu’

MabesteNA SHARIFA MMASI

MSANII wa hip hop nchini, William Ngwi ‘Mabeste’, anatarajiwa kuachia wimbo mpya alioimba peke yake utakaotamba kwa jina la ‘Usiwe Bubu’.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Mabeste alisema lengo la wimbo huo ni kuelimisha jamii kuwa na desturi ya kuweka mambo wazi ili kupata ufumbuzi utakaowatatulia matatizo.

“Niko njiani kuachia ngoma mpya itakayosikika masikioni mwa mashabiki kwa jina la ‘Usiwe Bubu’ ambayo nimeimba bila kumshirikisha mtu.

“Natoa wito kwa mashabiki wa...

 

10 years ago

CloudsFM

H Baba awafungukia wasanii wanaokodisha watu kuwazomea wenzao kwenye shoo

Msanii wa Bongo Fleva,Hamis Baba amewafungukia baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokodisha watu kwa kuwalipa fedha kwa ajili ya kuwazomea wasanii wengine kwenye shoo. H Baba ameyazungumza hayo kwenye mahojiano maalum na Clouds Fm kuhusu tabia iliyojitokeza ya baadhi ya wasanii kudaiwa kukodi watu kwa kuwalipa na kuwazomea wasanii wengine kwenye shoo.
Aidha msanii huyo alisema kuwa anasikitishwa sana na hali hiyo kwani anaona kuna hatari kubwa sana inakuja mbele kama hali itaendelea na...

 

10 years ago

CloudsFM

H Baba awafungukia wasanii wanaokodisha watu kuwazomea wenzao kwenye shoo zao

Msanii wa Bongo Fleva,Hamis Baba amewafungukia baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokodisha watu kwa kuwalipa fedha kwa ajili ya kuwazomea wasanii wengine kwenye shoo.

H Baba ameyazungumza hayo kwenye mahojiano maalum na Clouds Fm kuhusu tabia iliyojitokeza ya baadhi ya wasanii kudaiwa kukodi watu kwa kuwalipa na kuwazomea wasanii wengine kwenye shoo. Aidha msanii huyo alisema kuwa anasikitishwa sana na hali hiyo kwani anaona kuna hatari kubwa sana inakuja mbele kama hali itaendelea na...

 

10 years ago

GPL

SHOO YA MRS. MABESTE ILIVYOFANA NEW MAISHA CLUB DAR!

Msanii wa Bongo fleva, Kadja Nito akitumbuiza. Mmoja wa wasanii waliohudhuria akiwapagawisha mashabiki. Msanii Mirror akifanya mambo jukwaani.Msanii Ali Kiba akiteta jambo na mmoja wa mashabiki wake.…

 

10 years ago

GPL

MABESTE: WASANII BADO NAWAHITAJI

Staa wa ngoma ya Baadaye Sana, Venance Mabeste akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiana na Global TV Online. Mabeste akiwa katika pozi.…

 

10 years ago

Vijimambo

Harambee ya Kumchangia Mohammed (Mtoto wa BI.MOZA) Kwenda kwenye matibabu India

Ndugu zetu wa Tanzania wote msaada unahitajika kukamilisha gharama za matibabu ya kumpeleka ndugu yetu India kwa ajili ya kufanyiwa Kidney Transplant kwa haraka iwezekanavyo; kwa hivi sasa mgonjwa amelazwa katika hospital ya Muhimbili, Dar-es-Salaam.
Harambee itafanyika Kama ifuatavyo:Siku: Sunday - May 17, 2015 * SAA: Kuanzia 2pm-6pm
Address: Sligo Ave. PAB - Sligo Ave. Neighbor Park (Sligo Urban) 500 Sligo AVE Silver Spring MD, 20910
Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Bi.Moza...

 

5 years ago

Bongo5

Mabeste awachana wasanii wenzake wanaodandia siasa

Mabeste ametoa ushauri kwa wasanii wenzake ambao wanajiingiza kwenye siasa na kusahau majukumu yao kwenye muziki.

Akizungumza na kipindi cha Mega Mix cha Abood FM, muimbaji huyo amesema, “Tufanye muziki,tusiconcetrate na siasa. Politics sasa hivi imeshika kuliko kitu kingine chochote na mpaka inasababisha baadhi ya artists kuachia track na zinakuwa zinafeli kwa sababu tu raia wamefocus sana kwenye politics kuliko burudani.”

“Unakuta sisi wasanii wengine tunaona ilituweze kutake attention na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani