Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABESTE: WASANII BADO NAWAHITAJI

Staa wa ngoma ya Baadaye Sana, Venance Mabeste akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiana na Global TV Online. Mabeste akiwa katika pozi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Mabeste awachana wasanii wenzake wanaodandia siasa

Mabeste ametoa ushauri kwa wasanii wenzake ambao wanajiingiza kwenye siasa na kusahau majukumu yao kwenye muziki.

Akizungumza na kipindi cha Mega Mix cha Abood FM, muimbaji huyo amesema, “Tufanye muziki,tusiconcetrate na siasa. Politics sasa hivi imeshika kuliko kitu kingine chochote na mpaka inasababisha baadhi ya artists kuachia track na zinakuwa zinafeli kwa sababu tu raia wamefocus sana kwenye politics kuliko burudani.”

“Unakuta sisi wasanii wengine tunaona ilituweze kutake attention na...

 

9 years ago

Bongo5

Mabeste aanza kutoa semina kwa wasanii wachanga

Rapper Mabeste ameanzisha semina za kuelimisha wasanii wachanga pamoja na watu wa kawaida kupitia changamoto alizozipitia katika maisha ya muziki wake. Mabeste ameiambia Bongo5 kuwa tayari ameshaanza semina hizo katika mkoa wa Morogoro. “Mimi hapa nilipofika nimeona nina mapungufu mengi ambayo yamesababisha nishindwe kufikia malengo yangu katika muda muafaka,” amesema. “Nimeona nikikaa na mtu ambaye […]

 

10 years ago

GPL

WASANII WAUNGANA NA MABESTE KWENYE SHOO YA KUMCHANGIA MKEWE

Msanii Mabeste akiwapagawisha mashabiki. Msanii wa muziki, Bob Junior akifanya yake jukwaani. Mdada akipagawa na wimbo wa msanii Shebby Love (kushoto).…

 

10 years ago

Bongo5

Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza

Rapper Mabeste ameeleza kwa urefu jinsi mke wake alivyougua kwa muda mrefu mara tu baada ya kujifungua mtoto wao wa kwanza, Kendrick. Mabeste amesema mke wake ambaye pia ndio meneja wake alizidiwa hadi ikafika wakati akahisi atampoteza. Kupitia Instagram, hivi ndivyo alivyoandika: “Wabongo hawakosi cha kusema! Okay its true my fans nime wa promise sana […]

 

10 years ago

Bongo5

AT: Wasanii bado tunahitaji support ya serikali

Staa wa muziki wa mduara nchini, AT, amesema anaona bado kuna umuhimu mkubwa wa serikali kutoa support kwaajili ya kuwatangaza wasanii na kazi zao nje ya nchi kutokana na utajiri mkubwa na utofauti wa muziki wa Tanzania. AT ametoa wito huo kupitia kipindi cha E-Newz cha EATV. “Unajua kama ambavyo Rais alivyoweza kuonesha support kwa […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prof, Jay bado alia wizi kazi za wasanii

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, bado anaendelea kuumizwa na wizi wa kazi za wasanii huku akidai kwamba mamlaka husika zimeshindwa kutatua tatizo hilo. Profesa...

 

11 years ago

Mwananchi

Irene Uwoya:Wasanii bado hatujaweza kuthamini muda wetu

Mwigizaji wa filamu na mtangazaji wa kipindi cha redio cha Paradise, Irene Uwoya, amesema licha ya kwamba wasanii wanafanya bidii kuyafikia mafanikio, kikwazo kikubwa katika safari yao ni kutokuthamini muda.

 

9 years ago

Bongo5

Lollypop adai bado hajaifanya kazi ya kuandikia wasanii nyimbo kuwa rasmi

Lollipop

Mtayarishaji wa muziki na mtunzi wa nyimbo, Lollypop, amesema bado hajaamua kuifanya kazi ya kuwaandikia wasanii nyimbo kuwa rasmi.

Lollipop

Akizungumza katika kipindi cha 5T40 cha Radio 5 ya Arusha, Lollypop alisema wasanii wengi aliofanya nao kazi ni watu wake wa karibu.

“Mimi kuandika kwanza sio kazi official, huwa naandika kuna situation zinatokea na zinanibidi niandike na naandika na watu ambao tuko close sana,” alisema. “Haitokeagi tu nakaa naanza kuandika nyimbo mtu anakuja ananilipa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka

AUNT1

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii  wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.

Kwa  taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani