Irene Uwoya:Wasanii bado hatujaweza kuthamini muda wetu
Mwigizaji wa filamu na mtangazaji wa kipindi cha redio cha Paradise, Irene Uwoya, amesema licha ya kwamba wasanii wanafanya bidii kuyafikia mafanikio, kikwazo kikubwa katika safari yao ni kutokuthamini muda.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies21 Dec
Irene Uwoya Awataka Wasanii Kujiingiza Huku
MKALI wa filamu nchini, Irene Uwoya, amewataka wasanii wenzake hasa wanawake kujituma katika kazi nyingine kama vile biashara ili kuweza kujikomboa kimaisha.
![Irene Uwoya Katika Pozi](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/UWOYA234167.jpg)
Irene Uwoya Katika Pozi
Irene amesema wasanii wengi wanategemea sanaa ili kuweza kuendesha maisha yao, lakini wanatakiwa kufanya mambo mengi ili kuweza kujiingizia kipato.
Akizungumza na MTANZANIA jana alisema yeye ana ofisi ambayo inajishughulisha na ushonaji wa nguo za aina zote ambayo inamsaidia kuingiza kipato na huwa...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Irene Uwoya awataka wasanii kujiingiza kwenye biashara
NA THERESIA GASPER
MKALI wa filamu nchini, Irene Uwoya, amewataka wasanii wenzake hasa wanawake kujituma katika kazi nyingine kama vile biashara ili kuweza kujikomboa kimaisha.
Irene amesema wasanii wengi wanategemea sanaa ili kuweza kuendesha maisha yao, lakini wanatakiwa kufanya mambo mengi ili kuweza kujiingizia kipato.
Akizungumza na MTANZANIA jana alisema yeye ana ofisi ambayo inajishughulisha na ushonaji wa nguo za aina zote ambayo inamsaidia kuingiza kipato na huwa anashona.
“Natumia...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Tutalaaniwa kwa kutolinda, kuthamini wastaafu wetu
UCHUMI na maendeleo ya nchi yoyote ile duniani hutegemea zaidi mipango mizuri, rasilimali, mgawanyo wa rasilimali pamoja na uongozi imara wenye kujali zaidi masilahi ya walio wengi. Busara, hekima zitokazo...
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Irene Uwoya aula viti maalum
NA BAKARI KIMWANGA, DODOMA
MSANII pekee wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ameibuka kidedea kwenye uteuzi wa wagombea ubunge wa viti maalumu uliokamilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) jana.
Uwoya alipata nafasi hiyo baada ya jina la mtoto wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, ambaye pia ni mgombea wa CCM katika jimbo la Ubungo, Dk Didas Masaburi, Juliana Masaburi kukatwa.
Mtoto huyo wa Masaburi, alishinda kura za maoni kupitia kundi la Vijana akiwakilisha Mkoa wa Mara lakini baada ya kukatwa nafasi...
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Irene Uwoya Ashauriwa Aachane na Siasa
Baada ya Irene Uwoya kushindwa kupata nafasi ya vitu maalumu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baadhi ya mashabiki wa ukurasa wa facebook wa EATV wamemshauri msanii huyo kuachana na masuala ya siasa na kurudi katika tasnia ya filamu.
na kuendelea na kazi yake hiyo ya sanaa ambayo imempa jina kubwa na heshima zaidi.
Mashabiki hao wamepokea tofauti taarifa ya kukatwa kwa jina la Irene Uwoya katika katika vitu maalumu, wapo ambao wameonyesha kuguswa na kuumia Irene Uwoya kushindwa...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Shamsa amvulia kofia Irene Uwoya
NA THERESIA GASPER
MSANII wa filamu nchini, Shamsa Ford, amesema katika wasanii ambao anawakubali kutokana na ubora wa kazi zao mmojawapo ni Irene Uwoya.
Shamsa alisema msanii huyo anajua nini anachofanya na anapenda kupeana ushauri na kushirikiana katika mambo mbalimbali na wenzake.
Shamsa aliyasema hayo alipokuwa akimkabidhi zawadi Irene katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake Sinza, Dar es Salaam.
“Tabia yangu na ya Irene inaendana kwani...