Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shamsa amvulia kofia Irene Uwoya

Shamsa_Ford_02NA THERESIA GASPER

MSANII wa filamu nchini, Shamsa Ford, amesema katika wasanii ambao anawakubali kutokana na ubora wa kazi zao mmojawapo ni Irene Uwoya.

Shamsa alisema msanii huyo anajua nini anachofanya na anapenda kupeana ushauri na kushirikiana katika mambo mbalimbali na wenzake.

Shamsa aliyasema hayo alipokuwa akimkabidhi zawadi Irene katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake Sinza, Dar es Salaam.

“Tabia yangu na ya Irene inaendana kwani...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford: Bongo Movies Nzima, Irene Uwoya Ndio Mwenye Roho Nzuri Kuliko Wote

Mwigizaji wa filamu,Shamsa Ford amefunguka kwa kusema yake ya moyoni kuhusu ni kwajinsi gani mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya anavyojitoa kwa wenzake, kwa kusema kuwa Irene ndie mwenye roho nzuri kuliko wanawake wote wa Bongo Movie.

Mara baada ya kuiweka picha hiyo hapo juu ya Irene Uwoya Shamsa aliandika;

“Kwa mtazamo wangu mimi katika wanawake wa bongo movie nzima hamna mwanamke anayempata iren kwa roho nzuri, ni mtu ambaye anapenda wenzake, anaweza akatumia hata senti yake ya mwisho...

 

11 years ago

Mwananchi

Swita amvulia kofia Yondani

Kiungo wa JKT Ruvu, Emmanuel Swita amemtaja nahodha wa Kilimanjaro Stars, Kelvin Yondani kuwa ndiye mchezaji bora wa kikosi hicho kilichoshiriki michuano ya Chalenji.

 

10 years ago

GPL

MMAREKANI NE-YO AMVULIA KOFIA DIAMOND

Musa Mateja
KIWANGO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa mkubwa duniani, Shaffer Chimere Smith ‘Ne-yo’ kuukubali uwezo wa kimuziki alionao kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na ‘Ne-yo’. Kabla ya Mmarekani huyo aliyewahi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Plujim amvulia kofia Msuva

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Plujim, amekiri Ligi Kuu ya Vodacom iliyoisha ilikuwa ngumu huku akidai kuwa mchezaji bora wa timu yake kwa muda aliokuwepo Jangwani ni mshambuliaji chipukizi, Simon...

 

9 years ago

Mwananchi

Kagame amvulia kofia JPM

Rais Paul Kagame wa Rwanda amempongeza Rais John Magufuli kwa hatua ambazo anazichukua, hasa katika usimamizi na utendaji kazi wa Bandari ya Dar es Salaam na kumhakikishia kuwa nchi yake iko tayari kushirikiana na Tanzania hasa katika sekta hiyo ya usafirishaji.     

 

9 years ago

Bongo Movies

Irene Uwoya Ashauriwa Aachane na Siasa

Baada ya Irene Uwoya kushindwa kupata nafasi ya vitu maalumu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baadhi ya mashabiki wa ukurasa wa facebook wa EATV wamemshauri msanii huyo kuachana na masuala ya siasa na kurudi katika tasnia ya filamu.

na kuendelea na kazi yake hiyo ya sanaa ambayo imempa jina kubwa na heshima zaidi.

Mashabiki hao wamepokea tofauti taarifa ya kukatwa kwa jina la Irene Uwoya katika katika vitu maalumu, wapo ambao wameonyesha kuguswa na kuumia Irene Uwoya kushindwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Irene Uwoya aula viti maalum

f7d8b2e2ec0fec94d7385f158c725b9dNA BAKARI KIMWANGA, DODOMA

MSANII pekee wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ameibuka kidedea kwenye uteuzi wa wagombea ubunge wa viti maalumu uliokamilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) jana.

Uwoya alipata nafasi hiyo baada ya jina la mtoto wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, ambaye pia ni mgombea wa CCM katika jimbo la Ubungo, Dk Didas Masaburi, Juliana Masaburi kukatwa.

Mtoto huyo wa Masaburi, alishinda kura za maoni kupitia kundi la Vijana akiwakilisha Mkoa wa Mara lakini baada ya kukatwa nafasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani