Irene Uwoya Ashauriwa Aachane na Siasa
Baada ya Irene Uwoya kushindwa kupata nafasi ya vitu maalumu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baadhi ya mashabiki wa ukurasa wa facebook wa EATV wamemshauri msanii huyo kuachana na masuala ya siasa na kurudi katika tasnia ya filamu.
na kuendelea na kazi yake hiyo ya sanaa ambayo imempa jina kubwa na heshima zaidi.
Mashabiki hao wamepokea tofauti taarifa ya kukatwa kwa jina la Irene Uwoya katika katika vitu maalumu, wapo ambao wameonyesha kuguswa na kuumia Irene Uwoya kushindwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo526 Nov
Afande Sele ashauriwa aache siasa na arudi kwenye muziki
![Afande-Sele-nzuri_full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/02/Afande-Sele-nzuri_full-200x128.jpg)
Baada ya kutangaza kuachana na muziki na kujikita zaidi kwenye kilimo na siasa, watu wa karibu na Afande Sele wamemshauri kutoachana na kitu anachokiweza zaidi – muziki.
Akizungumza na Bongo5 leo, Afande amesema bado anajifikiria kufanya hivyo lakini anapata wakati mgumu kutokana na siasa kumwingia kwenye damu.
“Sasa hivi kuna vitu vinaanza kunipa warning kuona jinsi siasa ilivyo, sasa hivi naenda mahakamani nina matatizo ya kesi lakini simuoni mtu. Kwahiyo ni hali ambayo inanipelekea...
10 years ago
Bongo Movies25 Mar
Irene Uwoya Alia na Wanaotoa Mimba
Staa mrembo kutoka Bongo Movies,amewaasa wanawake kuacha kutoa mimba hata kama watakumbana na mtatizo,kwani mtoto ndio kila kitu katika maisha.
Msanii huyu alitoa wito huo hivi juzi kati akiwataka wajawazito wote waliokataliwa na wapenzi wao kuonyesha kuwa wao ni wanawake majasiri kwa kutothubutu kutoa mimba hizo.
‘Mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu, siku ya leo nawashauri wanawake wanaokataliwa mimba na wapenzi wao wasitoe wala kufanya chochote muonyeshe kama wewe ni mwanamke...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Shamsa amvulia kofia Irene Uwoya
NA THERESIA GASPER
MSANII wa filamu nchini, Shamsa Ford, amesema katika wasanii ambao anawakubali kutokana na ubora wa kazi zao mmojawapo ni Irene Uwoya.
Shamsa alisema msanii huyo anajua nini anachofanya na anapenda kupeana ushauri na kushirikiana katika mambo mbalimbali na wenzake.
Shamsa aliyasema hayo alipokuwa akimkabidhi zawadi Irene katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake Sinza, Dar es Salaam.
“Tabia yangu na ya Irene inaendana kwani...
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Irene Uwoya afanyiwa sherehe ya kupongezwa
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu ambaye jina lake limepitishwa nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Tabora kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Irene Uwoya, amesema malezi aliyopewa na wazazi wake ndiyo yatakayomsaidia kuwa kiongozi bora.
Irene alisema hayo juzi katika hafla fupi iliyoandaliwa na wazazi wake kumpongeza kupitishwa katika nafasi hiyo ambapo pia marafiki zake wa karibu walihudhuria sherehe hiyo.
“Nisingekuwa hapa nilipofika kama wazazi wangu...
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Irene Uwoya aula viti maalum
NA BAKARI KIMWANGA, DODOMA
MSANII pekee wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ameibuka kidedea kwenye uteuzi wa wagombea ubunge wa viti maalumu uliokamilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) jana.
Uwoya alipata nafasi hiyo baada ya jina la mtoto wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, ambaye pia ni mgombea wa CCM katika jimbo la Ubungo, Dk Didas Masaburi, Juliana Masaburi kukatwa.
Mtoto huyo wa Masaburi, alishinda kura za maoni kupitia kundi la Vijana akiwakilisha Mkoa wa Mara lakini baada ya kukatwa nafasi...
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Irene Uwoya - Macho mbele nje ya nchi