Plujim amvulia kofia Msuva
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Plujim, amekiri Ligi Kuu ya Vodacom iliyoisha ilikuwa ngumu huku akidai kuwa mchezaji bora wa timu yake kwa muda aliokuwepo Jangwani ni mshambuliaji chipukizi, Simon...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Swita amvulia kofia Yondani
10 years ago
GPLMMAREKANI NE-YO AMVULIA KOFIA DIAMOND
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Kagame amvulia kofia JPM
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Shamsa amvulia kofia Irene Uwoya
NA THERESIA GASPER
MSANII wa filamu nchini, Shamsa Ford, amesema katika wasanii ambao anawakubali kutokana na ubora wa kazi zao mmojawapo ni Irene Uwoya.
Shamsa alisema msanii huyo anajua nini anachofanya na anapenda kupeana ushauri na kushirikiana katika mambo mbalimbali na wenzake.
Shamsa aliyasema hayo alipokuwa akimkabidhi zawadi Irene katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake Sinza, Dar es Salaam.
“Tabia yangu na ya Irene inaendana kwani...
9 years ago
Bongo519 Aug
Ifahamu sababu ya Ne-Yo kuvaa kofia muda wote, tazama picha zake bila kofia
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Kofia ya Mugabe yamponza afisa wa chuo
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Kwa nini uvae kofia isiyokutosha?
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Wana Hip Hop wamvulia kofia Kendrick
UKITAKA kuzungumzia muziki wa Hip Hop nchini Marekani kwa sasa, hawezi kumuacha nyota wa muziki huo Kendrick Lamar ambaye anaonekana kufanya vizuri na kuwapoteza wakongwe.
Siyo kazi nyepesi kuingia kwenye muziki wa Hip Hop na kukubalika haraka, ni lazima kichwa kifanye kazi ili kuweza kuandaa mistari itakayowafanya mashabiki wengi wakuelewe.
Haikuwa kazi kubwa kwa Kendrick kuwashawishi mashabiki duniani kutokana na aina ya muziki wake ambapo mashabiki wengi walianza kusema kuwa 2 Pac...
9 years ago
Michuzi