kama hukuvaa kofia ngumu lazima udakwe....

Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo519 Aug
Ifahamu sababu ya Ne-Yo kuvaa kofia muda wote, tazama picha zake bila kofia
Umeshawahi kujiuliza kwanini muimbaji wa R&B wa Marekani, Ne-Yo huwa haachi kuvaa kofia kila anapoonekana? Ipo sababu ya kufanya hivyo. Ne-Yo ambaye yupo nchini Kenya kushiriki kwenye kipindi cha Coke Studio Africa, alikutana na swali la huwa anaficha kitu gani chini ya kofia yake? Alianza kujibu kwa utani “Nilipokuwa mdogo, nilipata ajali mbaya sana-Natania” akaendelea […]
10 years ago
Bongo517 Sep
Njia za kukusaidia kufanya mabadiliko hata kama kubadilika ni kazi ngumu
Viongozi wazuri huweza kushughulikia mabadiliko vizuri, iwe kwenye ngazi ya kisiasa, kijamii na hata kibiashara. Rais Jonathan anaweza akawa mtu wa kuigwa kwenye siasa za Nigeria kitu ambacho mataifa mengi ya Afrika wanashindwa kufanya na hata yale ya Mashariki ya Kati. Kuna viongozi wao wanadhani wao ndio kila kitu au miungu wadogo lakini ukweli wa […]
11 years ago
Michuzi.jpg)
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Swita amvulia kofia Yondani
Kiungo wa JKT Ruvu, Emmanuel Swita amemtaja nahodha wa Kilimanjaro Stars, Kelvin Yondani kuwa ndiye mchezaji bora wa kikosi hicho kilichoshiriki michuano ya Chalenji.
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Kagame amvulia kofia JPM
Rais Paul Kagame wa Rwanda amempongeza Rais John Magufuli kwa hatua ambazo anazichukua, hasa katika usimamizi na utendaji kazi wa Bandari ya Dar es Salaam na kumhakikishia kuwa nchi yake iko tayari kushirikiana na Tanzania hasa katika sekta hiyo ya usafirishaji. Â Â Â
10 years ago
GPL
MMAREKANI NE-YO AMVULIA KOFIA DIAMOND
Musa Mateja
KIWANGO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa mkubwa duniani, Shaffer Chimere Smith ‘Ne-yo’ kuukubali uwezo wa kimuziki alionao kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na ‘Ne-yo’. Kabla ya Mmarekani huyo aliyewahi...
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Plujim amvulia kofia Msuva
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Plujim, amekiri Ligi Kuu ya Vodacom iliyoisha ilikuwa ngumu huku akidai kuwa mchezaji bora wa timu yake kwa muda aliokuwepo Jangwani ni mshambuliaji chipukizi, Simon...
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Kofia ya Mugabe yamponza afisa wa chuo
Afisa mmoja Chuo Kikuu cha Zimbabwe amesimamishwa kazi baada yake kudaiwa kumpa Rais Mugabe kofia ndogo sana wakati wa mahafali.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania