Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ukiwa roma lazima uwe kama wao...


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HAPPINESS: KUWA MISS TZ SI LAZIMA UWE MCHARUKO!

Stori: Imelda Mtema
Miss Tanzania 2013, Hapiness Watimanywa, ameibuka na kusema kuwa kunyakuwa taji la urembo wa Miss Tanzania sio tiketi ya kuwa na skendo mbalimbali au kufanya mambo ambayo ni kinyume na maadili. Miss Tanzania 2013, Hapiness Watimanywa. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Happy alisema kuwa anaamini siyo kwamba mtu anapopata taji la urembo ndiyo linampa kichwa cha kuwa mcharuko, bali inategemea na uelewa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ANNASIMA MNUBI: Kuwa mjasiriamali si lazima uwe na mtaji mkubwa

Ni wazi kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo iliyowafanya wanawake wengi wakajiingiza katika ujasiriamali na kuachana na dhana ya utegemezi kwa wanaume wao kama ilivyokuwa awali. Wanawake kwa sasa wamekuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Redio na TV zitawalipa wasanii, asilimia 60 ya muziki utaochezwa lazima uwe wa nyumbani – Nape

Waziri Nape akihojiwa

Wakati baadhi ya wasanii na wadau mbalimbali wa burudani nchini wakiendelea kuwa na hofu juu ya mfumo mpya unaovitaka vituo vya redio na runinga kuwalipa wasanii mirahaba inayotokana na kucheza kazi zao, serikali imesema imeunda sheria ambayo itavifanya vishindwe kuepuka kucheza nyimbo za wasanii wa ndani.

Waziri Nape akihojiwa

Akizungumza na Bongo5 Jumanne hii kwenye uzinduzi wa filamu ya ‘Home Coming’ Mlimani City jijini Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye alisema...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ukiwa na itikadi tafauti na ccm basi wewe ni Adui wao

Watch “21 August 2015″ on YouTube – https://youtu.be/3PnfVjEiVr4 Watch “23 August 2015″ on YouTube – https://youtu.be/PdpXnAaVdfg

The post Ukiwa na itikadi tafauti na ccm basi wewe ni Adui wao appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ya Warioba; tusiwe kama wao kwani wao sio sisi

MOJAWAPO ya vitu ambavyo naviogopa sana ninapotafakari hatima ya taifa letu huko mbeleni ni uwezekano kuwa tunaweza kubadilisha watawala bila kubadilisha utawala. Lugha ya kisiasa nchini imebadilika sana kiasi kwamba...

 

10 years ago

Vijimambo

UKIWA NA MKE KAMA HUYU MUME NYUMBANI MAPEMA NA JIKONI ATAINGIA

Naomi Peter akitoa kipondo kwa mumewe.UPEPO umegeuka! Imani ya kwamba wanaume ndiyo wamekuwa wakiwapa kipondo wake zao imegeuka, safari hii mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Peter akimpa kipondo ‘hevi’ mumewe John Shila mchana kweupe!Wawili hao wakazi wa Misheni, jijini Mwanza waliibua timbwili la aina yake ambalo liliwavuta watu wengi chanzo kikiwa ni mwanaume huyo kumkataa mtoto aliyezaa na mwanamke huyo.
Akizungumza na waandishi wetu, mmoja wa mashuhuda alisema wawili hao walioana...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Na   Bashir     Yakub
Katika  makala  iliyopita  nilisema  kuwa  vijana  wengi   wajasiriamali  wanaofungua   biashara  za  makampuni   wanao  uwezo  mkubwa   wa kufika mbali   isipokuwa  tatizo  lao  ni  taarifa za  mambo  mbalimbali   kuhusu uendeshaji  wa  kampuni   hizo. 
 Mambo  ya uendeshaji   wa  kampuni  ni  mepesi sana  na  yanawezwa   na  mtu  yeyote isiopokuwa   tatizo   ni   taarifa   na  elimu ya  namna  ya  uendeshaji  kisheria   ili   kampuni   ionekane  ni kampuni.  Nilieleza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani