Redio na TV zitawalipa wasanii, asilimia 60 ya muziki utaochezwa lazima uwe wa nyumbani – Nape
Wakati baadhi ya wasanii na wadau mbalimbali wa burudani nchini wakiendelea kuwa na hofu juu ya mfumo mpya unaovitaka vituo vya redio na runinga kuwalipa wasanii mirahaba inayotokana na kucheza kazi zao, serikali imesema imeunda sheria ambayo itavifanya vishindwe kuepuka kucheza nyimbo za wasanii wa ndani.
Akizungumza na Bongo5 Jumanne hii kwenye uzinduzi wa filamu ya ‘Home Coming’ Mlimani City jijini Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye alisema...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV17 Dec
Nape aonya vyombo vya habari kutumia muziki ya wasanii bila idhini ya COSOTA
Serikali imetoa tamko kwa vyombo vyote vya habari nchini kuanzia january mosi mwakani kutokutumia muziki wa aina yeyote ule wa ndani au nje bila kibali kutoka Cosota.
Wakitoa tamko hilo kwa pamoja waziri wa habari michezo na utamaduni Nape Nnauye na waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage wamewataka wamiliki wa vyombo vya habari kutoa ushirikiano.
Nape amesema atalisimamia zoezi hilo na kutoa tahadhari kwa chombo chochote cha habari kitachokiuka tamko hilo hatakionea haya kukifungia...
11 years ago
GPLHAPPINESS: KUWA MISS TZ SI LAZIMA UWE MCHARUKO!
11 years ago
Michuzi11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
ANNASIMA MNUBI: Kuwa mjasiriamali si lazima uwe na mtaji mkubwa
Ni wazi kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo iliyowafanya wanawake wengi wakajiingiza katika ujasiriamali na kuachana na dhana ya utegemezi kwa wanaume wao kama ilivyokuwa awali. Wanawake kwa sasa wamekuwa...
10 years ago
Bongo520 Oct
Nikki Wa Pili: Nguvu ya muziki wa nyumbani bado imeonekana ni kubwa zaidi ya muziki wa kigeni
9 years ago
Bongo517 Dec
Waziri Nape Nnauye afafanua jinsi wasanii chipukizi watakavyonufaika na sheria ya Radio na TV kuwalipa wasanii
Kumeibuka maswali mengi toka ilipotangazwa sheria ya wanamuziki wa Tanzania kulipwa na vituo vya Radio na TV kwa kutumia kazi zao, moja wapo ni kuhusu kama sheria hii itakuwa na manufaa kwa wasanii wachanga au itachangia kuwapa wakati mgumu zaidi wa kupata nafasi ya kazi zao kuchezwa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amefafanua jinsi wasanii chipuziki watakavyonufaika na utaratibu huo unaotarajiwa kuanza kutumika mwezi January,2016.
“Wapo watu wanasema kwamba...
9 years ago
Bongo504 Jan
Wasanii mwaka 2016 uwe wa kazi na si lawama – Fella
Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe pamoja TMK Wanaume Family, Said ‘Mkubwa’ Fella, amewataka wasanii kuutumia mwaka 2016 vizuri kwa kutoa kazi nzuri na kuacha malalamiko yasiyo na tija.
Fella ambaye ametambulisha kundi jipya la muziki liitwalo Salam TMK, alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV kuwa mwaka 2016 utakuwa mwaka mwema kama wasanii watautumia vizuri.
“Ninaweza nikawaambia wasanii wajibrand vizuri, lawama ndogo ndogo hazihitajiki tena mwaka 2016,” alisema.
“Kama kuna lawama...
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Nape: CCM haijakamilika asilimia 100
10 years ago
Bongo501 Dec
Mwana FA: Makampuni tusaidieni kuufanya muziki wetu uwe mkubwa, ni baada ya ushindi wa Diamond