Waziri Nape Nnauye afafanua jinsi wasanii chipukizi watakavyonufaika na sheria ya Radio na TV kuwalipa wasanii
Kumeibuka maswali mengi toka ilipotangazwa sheria ya wanamuziki wa Tanzania kulipwa na vituo vya Radio na TV kwa kutumia kazi zao, moja wapo ni kuhusu kama sheria hii itakuwa na manufaa kwa wasanii wachanga au itachangia kuwapa wakati mgumu zaidi wa kupata nafasi ya kazi zao kuchezwa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amefafanua jinsi wasanii chipuziki watakavyonufaika na utaratibu huo unaotarajiwa kuanza kutumika mwezi January,2016.
“Wapo watu wanasema kwamba...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Jan
NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo
9 years ago
Bongo518 Dec
Dully Sykes ana mashaka na sheria mpya inayozitaka TV na Redio kuwalipa wasanii
Dully Sykes amedai kuingiwa na mashaka baada ya serikali kusaini sheria mpya inayovitaka vituo vya runinga na redio hapa nchini kuwalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao.
Dully ameiambia Bongo5 kuwa sheria hiyo ilitakiwa ipewe muda zaidi.
“Mimi naona ni mapema sana,” amesema.
“Unajua sisi tulikuwa tayari tuna mfumo wetu ambao tumeuzoea sasa huu mpya unaweza ukawa balaa kabisa,” ameonya Dully.
“Mimi sijawahi kupewa hata nafasi ya kuhudhuria vikao vyao lakini nadhani bado tunahitaji elimu...
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Sentensi nne za Nape Nnauye zina majibu ya ishu ya Sheria ya mavazi iliyosambaa mitandaoni.. (+Audio)
Kulikuwa na taarifa ambayo imesambaa mitandaoni kuhusu ishu ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Moses Nnauye kutangaza kuhusu kupigwa marufuku baadhi ya aina ya mavazi kwa wanawake na wanaume… taarifa hiyo ikaenda mbali na kutaja faini ya 100,000/= kwa atakayekiuka. Taarifa kutoka kwenye habari ya Clouds TV imempata Waziri Nape Nnauye >>> […]
The post Sentensi nne za Nape Nnauye zina majibu ya ishu ya Sheria ya mavazi iliyosambaa mitandaoni.. (+Audio) appeared first on...
11 years ago
GPLSERIKALI YAIPONGEZA UCA-TANZANIA KUWANYANYUA WASANII CHIPUKIZI
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 …
December 30 ilikuwa ni siku ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kukutana na uongozi wa wizara ya habari, vijana, utamaduni, burudani na michezo Nape Nnauye. Mshambuliaji huyo ambaye anahusishwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji […]
The post Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 … appeared first on...
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Waziri wa Habari, Mhe. Nape Nnauye aripoti ofisini, ataja vipaumbele vyake
Naibu waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi. Anastazia James Wambura (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika ofisi za wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi Lilian Beleko (kulia) akimkaribisha kwa furaha Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye wizarani hapo leo hii jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa...
9 years ago
Habarileo15 Dec
Nape aahidi raha wasanii
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema atahakikisha wanaimarisha eneo la sanaa ili liweze kufanikiwa na kuwa eneo linalojitegemea na linalojiimarisha vizuri na matunda yake kuonekana.
9 years ago
MichuziWAZIRI NAPE NNAUYE AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA TBC OFISINI KWAKE LEO
9 years ago
Habarileo11 Dec
Magufuli amkabidhi Nape wanamichezo, wasanii
RAIS John Magufuli amemteua Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo. Wakati wa kampeni zake za urais, Rais Magufuli mara kadhaa alikaririwa akisema atakuwa mstari wa mbele kuwasaidia wanamichezo na wasanii katika masuala mbalimbali wakati wa utawala wake.