Dully Sykes ana mashaka na sheria mpya inayozitaka TV na Redio kuwalipa wasanii
Dully Sykes amedai kuingiwa na mashaka baada ya serikali kusaini sheria mpya inayovitaka vituo vya runinga na redio hapa nchini kuwalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao.
Dully ameiambia Bongo5 kuwa sheria hiyo ilitakiwa ipewe muda zaidi.
“Mimi naona ni mapema sana,” amesema.
“Unajua sisi tulikuwa tayari tuna mfumo wetu ambao tumeuzoea sasa huu mpya unaweza ukawa balaa kabisa,” ameonya Dully.
“Mimi sijawahi kupewa hata nafasi ya kuhudhuria vikao vyao lakini nadhani bado tunahitaji elimu...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi29 Sep
9 years ago
Bongo517 Dec
Waziri Nape Nnauye afafanua jinsi wasanii chipukizi watakavyonufaika na sheria ya Radio na TV kuwalipa wasanii
Kumeibuka maswali mengi toka ilipotangazwa sheria ya wanamuziki wa Tanzania kulipwa na vituo vya Radio na TV kwa kutumia kazi zao, moja wapo ni kuhusu kama sheria hii itakuwa na manufaa kwa wasanii wachanga au itachangia kuwapa wakati mgumu zaidi wa kupata nafasi ya kazi zao kuchezwa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amefafanua jinsi wasanii chipuziki watakavyonufaika na utaratibu huo unaotarajiwa kuanza kutumika mwezi January,2016.
“Wapo watu wanasema kwamba...
9 years ago
Bongo506 Oct
Dully Sykes awabeza wasanii wanaofanya kolabo ‘za kimataifa’
10 years ago
Bongo519 Feb
Dully Sykes alia na wasanii waliomtenga kwenye msiba wa baba yake
9 years ago
Bongo511 Dec
Dully Sykes: Sitowasaidia tena wasanii wachanga, wakipata ni wepesi kusahau
Dully Sykes amesema amefunga mlango wa kuwasaidia wasanii wachanga kwa madai aliowasaidia bado hawajamrudishia fadhila.
Mwimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Tuachie’ hivi karibuni akiwa na Yamoto Band, amekiambia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV kuwa haba tena muda wa kusaidiana bali anachohitaji ni pesa.
“Up coming artists mimi siwahitaji tena kwenye studio yangu,” alisema. “Mimi nahitaji aje alipe na bei yangu ni ile ile. Nimesaidia wengi mpaka leo wanapata pesa zao na hawanikumbuki hata...
10 years ago
GPL10 Jun
10 years ago
Michuzi15 Oct
9 years ago
Bongo523 Oct
Yamoto Band waandika wimbo mpya wa Dully Sykes
10 years ago
GPLTANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA