Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dully Sykes: Sitowasaidia tena wasanii wachanga, wakipata ni wepesi kusahau

Dully

Dully Sykes amesema amefunga mlango wa kuwasaidia wasanii wachanga kwa madai aliowasaidia bado hawajamrudishia fadhila.

Dully

Mwimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Tuachie’ hivi karibuni akiwa na Yamoto Band, amekiambia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV kuwa haba tena muda wa kusaidiana bali anachohitaji ni pesa.

“Up coming artists mimi siwahitaji tena kwenye studio yangu,” alisema. “Mimi nahitaji aje alipe na bei yangu ni ile ile. Nimesaidia wengi mpaka leo wanapata pesa zao na hawanikumbuki hata...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Dully Sykes awabeza wasanii wanaofanya kolabo ‘za kimataifa’

Dully Sykes hazitaki mbichi hizi! Muimbaji na mtayarishaji huyo wa muziki amesema hana mpango wa kufanya kolabo na wasanii wa Afrika ambao hawajawahi hata kushiriki kwenye mashindano makubwa ya muziki duniani zikiwemo tuzo za BET. Dully ameiambia Story Tatu ya Planet Bongo kupitia East Africa Radio kuwa hatishiki na wasanii wanaofanya kolabo na wasanii wa […]

 

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes alia na wasanii waliomtenga kwenye msiba wa baba yake

Wanasema rafiki wa dhati utamjua wakati wa dhiki na tayari Dully Sykes amechuja marafiki wa kweli na feki. Dully ambaye wiki hii alimzika baba yake, Mzee Ebby Sykes amesema hatopenda kuendelea kuwatupia lawama wasanii waliomtenga kwenye msiba huo na kwamba hilo anamuachia Mungu. “Hili suala nilishaambiwa nisizungumze tena kuhusiana na msanii ambaye hajafika, kwahiyo namwachia […]

 

9 years ago

Bongo5

Dully Sykes ana mashaka na sheria mpya inayozitaka TV na Redio kuwalipa wasanii

Dully

Dully Sykes amedai kuingiwa na mashaka baada ya serikali kusaini sheria mpya inayovitaka vituo vya runinga na redio hapa nchini kuwalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao.

Dully

Dully ameiambia Bongo5 kuwa sheria hiyo ilitakiwa ipewe muda zaidi.
“Mimi naona ni mapema sana,” amesema.

“Unajua sisi tulikuwa tayari tuna mfumo wetu ambao tumeuzoea sasa huu mpya unaweza ukawa balaa kabisa,” ameonya Dully.

“Mimi sijawahi kupewa hata nafasi ya kuhudhuria vikao vyao lakini nadhani bado tunahitaji elimu...

 

11 years ago

GPL

JACQUELINE WOLPER, DULLY SYKES, LINAH SANGA, SHETA NA GELLY WA RHYMES WAIFAGILIA SKYLIGHT BAND NI IJUMAA HII TENA‏

Rapa Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku wenzake wakisebeneka ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita pamoja na Ijumaa zingine za kila wiki. Mdau wakijiachia na mrembo wa kizungu...Chezea Skylight Band wewe....ni Balaaa!…

 

10 years ago

GPL

TANZIA: BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Mzee Sykes enzi za uhai wake. Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake. Baba…

 

10 years ago

Vijimambo

BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA

Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake.

 

10 years ago

Bongo5

Baba yake na Dully Sykes, Ebby Sykes afariki dunia

Baba mzazi wa Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki dunian akiwa na umri wa miaka 62. Angetimiza miaka 63 February 24. Mtoto wake wa kike aitwaye Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kwenye mtandao wa Instagram. “Mungu akulaze mahali pema peponi baba angu mm nilikupenda lakin mungu alikupenda zaid nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika!ulikua ni mtu […]

 

10 years ago

CloudsFM

Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes

Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani