Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAIPONGEZA UCA-TANZANIA KUWANYANYUA WASANII CHIPUKIZI‏

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Leah Kihimbi akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo . Mkurugenzi Mtendaji wa UCA-Tz, Emmanuel Mushy akizungumza na vijana kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya uzinduzi. Baadhi ya wasanii chipukizi wa muziki na sanaa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na baadhi ya viongozi wa UCA-Tanzania.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Waziri Nape Nnauye afafanua jinsi wasanii chipukizi watakavyonufaika na sheria ya Radio na TV kuwalipa wasanii

Katibu Mwenezi wa Itikadi wa CCM Nape NNauye akifuatilia  mchezo kwa umakini mkubwa

Kumeibuka maswali mengi toka ilipotangazwa sheria ya wanamuziki wa Tanzania kulipwa na vituo vya Radio na TV kwa kutumia kazi zao, moja wapo ni kuhusu kama sheria hii itakuwa na manufaa kwa wasanii wachanga au itachangia kuwapa wakati mgumu zaidi wa kupata nafasi ya kazi zao kuchezwa.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amefafanua jinsi wasanii chipuziki watakavyonufaika na utaratibu huo unaotarajiwa kuanza kutumika mwezi January,2016.

“Wapo watu wanasema kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yaipongeza Kampuni ya Huawei Tanzania

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia, Prof. Makame Mbarawa ameipongeza Kampuni ya HUAWEI Tanzania kwa ushirikiano wao wa karibu na wizara katika kuchangia miradi mingi hususan mambo mengi ya TEHAMA .
Huawei Tanzania inafanya kazi kwa ukaribu sana ni wizara na kwa hivi sasa ni mojawapo ya Mtoa huduma za vifaa vingi vya ujenzi wa jengo jipya la DATA center.
Data center ni mojawapo ya ujenzi mkubwa unaofanywa na wizara ya sayansi na jingo hili litakua na kazi ya kuhifadhi DATA...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaipongeza Tusiime

SERIKALI mkoani Dar es Salaam, imeipongeza shule ya Tusiime iliyopo Tabata  kwa namna ilivyosaidia mkoa huo kushika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu kwa...

 

9 years ago

GPL

SMZ YAIPONGEZA UN KWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KIMAENDELEO VISIWANI ZANZIBAR‏

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akitoa salamu za Umoja wa Mataifa katika sherehe za kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Umoja huo. Mgeni rasmi Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma, Haroun Ali Suleiman akitoa salamu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika sherehe za kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaipongeza Sekondari ya St Matthew

MKURUGENZI wa shule za sekondari za serikali nchini, Paulina Mkonongo, ameipongeza Shule ya Sekondari ya St Matthew iliyopo Mkuranga, Pwani kwa kufaulisha wanafunzi wa kidato cha nne kwa zaidi ya...

 

9 years ago

Bongo5

Layla (Voice Fairy) – Msanii chipukizi wa Bongo aliyeshinda shindano la Yemi Alade na kuwa staa kwa kuimba cover za wasanii

11253897_955031214568617_1983885996_n

Kwa wapenzi wa mtandao wa Instagram, jina na sura ya Layla aka The Voice Fairy sio vigeni.

11253897_955031214568617_1983885996_n

Muimbaji huyo wa Mwanza anayeishia Dar es Salaam kimasomo amejipatia umaarufu kwenye ulimwengu wa Instagram kwa kuimba nyimbo za wasanii wengine (cover) kabla hata ya kurekodi wimbo wake ‘Hoi Hoi’ uliotoka wiki iliyopita.

10249313_428053124072355_1371821855_n

“Napenda sana kuimba nyimbo za watu napost kwenye Instagram yangu,” Layla alikiambia kipindi cha The Bridge cha Radio Free Africa, Jumapili, Nov 15.

“So hiyo ilinijengea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yaipongeza serikali kusikiliza hoja yao

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeipongeza serikali kwa kukubaliana na hoja yao ya kuwa na mwajiri mmoja. Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Rais wa chama hicho, Gratian Mukoba, alisema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yaipongeza TPHA kukuza sekta ya afya

DSC_0684

Mkurugenzi wa Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Margaret Mhando akifungua kongamano hilo la kisayansi.

Na Andrew Chale, Bagamoyo

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imepongeza juhudi za makusudi zinazofanywa na Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) katika kushughulikia masuala ya afya kwa jamii huku ikiahidi kushirkiana kwa ukaribu.

Hayo yalisemwa jana  mjini hapa na mgeni rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Dk....

 

11 years ago

Michuzi

SHIWATA yaipongeza Serikali kutambua kijiji chao Mkuranga

Na Mwandishi Wetu, Mkuranga
SERIKALI imepongezwa kwa kutambua juhudi zinazofanywa na wasanii, wanamichezo na waandishi wa habari za kujenga nyumba za makazi katika kijiji cha Mwanzega Mkuranga ambapo Mwenge wa Uhuru ulifika na kuweka jiwe la msingi Julai 22 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA),Cassim Taalib katika risala aliyosoma mbele ya Kiongozi wa Mwenge kitaifa, Rachael Kassanda alisema Serikali kukitambua kijiji hicho kumeongeza ari ya wasanii kujenga nyumba za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani