Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nikki Wa Pili: Nguvu ya muziki wa nyumbani bado imeonekana ni kubwa zaidi ya muziki wa kigeni

Msemaji wa kundi la Weusi Nickson Simon a.k.a Nikki Wa Pili ni miongoni mwa wasanii waliopanda kwenye jukwaa la Fiesta 2014 kwenye viwanja vya Leaders, Dar Jumamosi October 18 akiwa na Joh Makini, Lord Eyez na G-Nako. Nikki ambaye pia hakupitwa na show za wasanii wengine alikuwa na machache ya kusema kwa kile alichokiona kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

NIKKI WA PILI : Zaidi ya mwanamuziki

Mara nyingi tumezoea kuona wasanii wakijishughulisha na kazi za sanaa pekee na ni wachache ambao wanafanya kazi za sanaa na wakati huohuo wakajishughulisha na shughuli nyingine za kitaalamu.

 

10 years ago

GPL

HONGERA GENIUS NIKKI, MUZIKI UNAHITAJI VICHWA KAMA WEWE!

KWAKO Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ mambo niaje? Uko poa? Za tangu wiki iliyopita tulipoonana kwenye tafrija ya kumuaga Rais Jakaya Kikwete? Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Niko poa, naendelea na mishemishe zangu kama kawaida. Miongoni mwa majukumu yangu ni hili la kuwaandikia nyinyi mastaa barua, kuwapongeza au kuwakosoa pale mnapotoka nje ya mstari. Dhumuni la kukukumbuka leo kwa barua hii ni kutaka...

 

9 years ago

Bongo5

Nikki Wa Pili: Najipanga kufanya video kubwa ya ‘Baba Swalehe’ na director mkubwa wa nje

Nikk

Baada ya Joh Makini kufanya video mbili (Nusu Nusu na Don’t Bother), na G-Nako kufanya video moja (Original) Afrika Kusini na muongozaji Justin Campos, sasa ni zamu ya Nikki kufanya video na muongozaji huyo ambaye ameonekana kukubalika sana na wasanii wengi wa Bongo wanaomkimbilia kufanya naye kazi kwa sasa.

Nikk

Rapa wa Weusi Nikki Wa Pili ameieleza Bongo5 kuwa anajiandaa kufanya video kubwa ya wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’, na mpango wake ni kufanya na director wa nje.

“Baba Swalehe’...

 

10 years ago

Bongo5

Nay Wa Mitego: Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu, dongo kwa Nikki Mbishi?

Nay Wa Mitego a.k.a The True Boy ametoa kauli nyingine ambayo inaonekana wazi kuwa inamlenga rapper Nikki Mbishi. Baada ya hivi karibuni ‘kumpongeza’ rapper huyo kwa uamuzi wake wa kuacha muziki na kudai kuwa alichelewa sana kuchukua uamuzi huo, ameandika ujumbe mwingine unaoashiria kuwa ni dongo lingine kwa Nikki Mbishi. Kupitia Facebook Nay ameandika: “Hawa […]

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi atoa sababu za kubadili uamuzi wa kuacha muziki, kutoa wimbo mpya March 4

Rapper Nikki Mbishi ambaye aliuanza mwaka 2015 kwa kufanya uamuzi uliowashtua mashabiki wengi wa Hip Hop baada ya kutangaza kuacha muziki, ametangaza kuachia ngoma mpya wiki ijayo. Baada ya kuulizwa sababu zilizomfanya abadili uamuzi wake na kuendelea kufanya muziki hizi ndio sababu alizozitoa, “Nimegundua kwamba bado watu wananidai vitu vingi sana ngoja kwanza labda nimalizane […]

 

9 years ago

Bongo5

Muziki wa Eminem unaweza kukuongezea nguvu — Utafiti

eminem-1-736x414Muziki wa rapper Eminem unaweza kumuongezea mwanamichezo nguvu ya kufanya vizuri zaidi kwa asilimia 10, utafiti umebaini. Ngoma za rapper huyo zikiwemo Lose Yourself na Without Me – zimeonesha kuwa na uwezo wa kumuongezea mtu nguvu na ustahimilivu katika kipindi kirefu cha mazoezi. Watafiti walitumia miezi minne kufanya utafiti na muogeleaji wa Uingereza, Ben Hooper […]

 

9 years ago

Bongo5

Beka Ibrozama: Muziki wa biashara usitufanye tuutupe muziki wa asili ya Tanzania

beka

Muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo wake ‘Natumaini’, Beka Ibrozama ameonya kuwa kama wasanii watajisahau na kufanya zaidi ule wanaouita muziki wa biashara wenye kukopa vionjo vya nje, muziki wenye asili ya Tanzania utapotea.

beka

Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky hivi karibuni, Beka alisema pamoja na kufanya nyimbo za kisasa, bado amekuwa akitumia muziki wenye asili ya Tanzania kumpa inspiration.

“Nasikiliza tu jinsi muziki unavyoelekea, naona ni muziki ambako upo wa kukopi sana, watu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Muziki wa zamani bado ni lulu DRC

Wanamuziki wa kizazi kipya nchini Congo, wageukia muziki wa zamani kurudisha heshima ya muziki huo tena

 

10 years ago

Vijimambo

Heri Muziki-Nchi Yetu (Muziki Wetu)

Huu wimbo unahusu amani, upendo, uhuru na pia kujivunia na kusherekea utaifa wetu
Artist Name: Heri MuzikiSong Name: Nchi Yetu (Muziki wetu)Produced by: MswakiSongwriters: Adam Kaps, KT, Heri Muziki & Mswaki
Download Link :http://hu.lk/949infc12pvk
attached are1. Nchi Yetu (Muziki wetu)2. Song cover (artwork)3. Promo pic4. Nchi Yetu (Muziki wetu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani